kuku wa kienyeji
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 494
- 151
Heee nielekezeni napeleka barua kwa mkono au kwa sanduku lao la posta, mimi na apply na hicho cha form four hivyo vingine tutajuana mbele ya safari kama nikipata,
Ajira zenyewe siku hizi zinazingua tu.
Wanataka form iv. Ficha cheti hiko
Ndugu naweza kuambatanisha na cha computer? Au napo nitakua over qualified?
poa bosshakina neno ila kifiche nacho, usiambatanishe. Kwanini ?? Hizo kazi mnazoenda kufanya haziitaji mtu mwenye knowledge ya kompyuta.
Asante mkuu kwa taarifa ila cjui tunapeleka kwa mkono au njia ya posta, tusaidieni
asante.vipi mishahara yao?
ni posta.