kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,176
- 1,714
Nadhani wameona bado watu ni wengi kwaio wameamua kupunguza tenaDuu written
Me nilijua kifuatacho ni Oral
Na me ndo natambua hilo la email ndo sahihiWhy call? Email and text are the best
Hongera sana mkuu...na kila la heri huko.Nimepokea simu yakwenda kufanya written interview 10.06 2020 central zone
Hapana mkuu...mimi nimekuta komenti zake humu nikampa tu pongezi ,japo hupaswi kudharau maoni yake kwakua amejiunga leo unless umethibitisha kwa watu wengine....ila ukisema huyu ni mimi unanikosea mkuuTako lako
Mtu mwenyewe umejoin leo ili uje utusumbue humu sio
Na nahisi msomi uchwara ndo wewe mwenyewe Key point
Ok tuyaache mkuuHapana mkuu...mimi nimekuta komenti zake humu nikampa tu pongezi ,japo hupaswi kudharau maoni yake kwakua amejiunga leo unless umethibitisha kwa watu wengine....ila ukisema huyu ni mimi unanikosea mkuu
Kiungwana zaidiHapana mkuu...mimi nimekuta komenti zake humu nikampa tu pongezi ,japo hupaswi kudharau maoni yake kwakua amejiunga leo unless umethibitisha kwa watu wengine....ila ukisema huyu ni mimi unanikosea mkuu
update kuhusu nafasi hizi ni kwamba zoezi lilisimama kwasababu ya janga la corona na departments nyingi walikuwa wanafanyia kazi nyumbani au kwa zamu/ratiba maalumu since March, kwahiyo waliona itakuwa ni hatarishi kuita watu kwenye oral interview kati kati ya janga hili. kwahiyo zoezi la interview litaendelea baada ya wao kuanza kurudi rasmi makazini kama mwanzo kwasababu bado wanafanyia kazi nyumbani.na pia watakaoitwa kwenye interview ni wale waliopata pass mark kuanzia 80 kwenda juu.Watu tumebonyeza "watch" tunataangalia tu
Tawile baba.. nna mdogo wangu hapa namnoa vilivo.. mtaopambana naye kwenye oral hesabuni nafsi moja tayar imejaa..update kuhusu nafasi hizi ni kwamba zoezi lilisimama kwasababu ya janga la corona na departments nyingi walikuwa wanafanyia kazi nyumbani au kwa zamu/ratiba maalumu since March, kwahiyo waliona itakuwa ni hatarishi kuita watu kwenye oral interview kati kati ya janga hili. kwahiyo zoezi la interview litaendelea baada ya wao kuanza kurudi rasmi makazini kama mwanzo kwasababu bado wanafanyia kazi nyumbani.na pia watakaoitwa kwenye interview ni wale waliopata pass mark kuanzia 80 kwenda juu.
(hii taarifa nimeona nishare sbb ni kutoka kwa mtu anaefanya kazi NMB makao makuu na ni mtu mkubwa hapo position ya director na naamini intel yake)
kwahiyo goodluck to all who have 80% paas mark kwenda juu na mjiandae na oral interview.
Asanteni!
Baba watu wanaingia na mzizi mdomoni kila watakalojibu wanakubali tu interviewerπTawile baba.. nna mdogo wangu hapa namnoa vilivo.. mtaopambana naye kwenye oral hesabuni nafsi moja tayar imejaa..
Kuna watu hum walijidai et wamepata cm ya kuitwa kwenye interview tarh 10(leo) hiv wamefikia wap? Interview ilikuaje?update kuhusu nafasi hizi ni kwamba zoezi lilisimama kwasababu ya janga la corona na departments nyingi walikuwa wanafanyia kazi nyumbani au kwa zamu/ratiba maalumu since March, kwahiyo waliona itakuwa ni hatarishi kuita watu kwenye oral interview kati kati ya janga hili. kwahiyo zoezi la interview litaendelea baada ya wao kuanza kurudi rasmi makazini kama mwanzo kwasababu bado wanafanyia kazi nyumbani.na pia watakaoitwa kwenye interview ni wale waliopata pass mark kuanzia 80 kwenda juu.
(hii taarifa nimeona nishare sbb ni kutoka kwa mtu anaefanya kazi NMB makao makuu na ni mtu mkubwa hapo position ya director na naamini intel yake)
kwahiyo goodluck to all who have 80% paas mark kwenda juu na mjiandae na oral interview.
Asanteni!
Nimetoka kwenye writtern sasa hivi nasubili majibu kwasababu oral ni ijumaa tulikua 30 na nilivyojaribu kuwauliza wenzangu wao passmark zao ni 100% so tulikuwa watu wa 100%Kuna watu hum walijidai et wamepata cm ya kuitwa kwenye interview tarh 10(leo) hiv wamefikia wap? Interview ilikuaje?
Jmn tuachen ujuaji na kurusha watu mioyo
Ila wewe kiboko maana unapingana hadi na email ya Mchongoma? Wao 80% and Above na wewe ni 100% only, kazi ipoNimetoka kwenye writtern sasa hivi nasubili majibu kwasababu oral ni ijumaa tulikua 30 na nilivyojaribu kuwauliza wenzangu wao passmark zao ni 100% so tulikuwa watu wa 100%
Kuna groups tatu kuna 80+,90+,100 so kila group litaitwa kulingana na marks specified na kwa tarifa yako wanahitaji 100 Bank officers wameanza hivyoo wengine mtafataIla wewe kiboko maana unapingana hadi na email ya Mchongoma? Wao 80% and Above na wewe ni 100% only, kazi ipo
Mliopata 100% njoni Mumdharirishe huyu jamaa maana ameanza story zake.Kuna groups tatu kuna 80+,90+,100 so kila group litaitwa kulingana na marks specified na kwa tarifa yako wanahitaji 100 Bank officers wameanza hivyoo wengine mtafata
Wenye 100% kanda ya kati ambao tumefanya written leo step forwardMliopata 100% njoni Mumdharirishe huyu jamaa maana ameanza story zake.
Mhh kwani kuna watu wameshafanya written tayari?Wenye 100% kanda ya kati ambao tumefanya written leo step forward
Toka juma tatu alivyojiunga na JFMliopata 100% njoni Mumdharirishe huyu jamaa maana ameanza story zake.
Bothπ π π what do you mean...is this the ticket to heaven or paradise?