Mimi nipo hapa maweni magereza bi mdashi muaskali so ananipa some info kuwa mwezi wa tisa ivi wanaweza kutangaza ila kama ulivyo wewe huku pia taarifa azijawa confimd jembe@torch
Nasikia ofisi ya mgambo/mafunzo pale kwa mkuu wa wilaya taarifa za jkt/jwtz unaweza ukapata,tuwe tunatembelea mara kwa mara ukipata info tujuzane..
kaka watu wa jkt walienda udsm walitaka graduate wa engineering only hiyo ndo update niliyokua nayo ilikuwa 23/11