Kweli Watanzania tuna IQ ndogo, kabila la Rais litayusaidia nini HATA tukilijua?
Kuwa kabila kubwa au dogo siyo tatizo, tatizo ni kuendekeza ukabila akiwa madarakani. Tujadili mambo ya msingi ili Jukwaa liwe na Tija kwa Viongozi wanaoingia humu na Watanzania kwa ujumla.