Nafasi ya Lowassa ndani ya CHADEMA

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,221
Reaction score
3,359
Mheshmiwa Mbowe alibadili gia angani akamkaribisha Lowassa agombee urais kupitia CHADEMA na kumweka pembeni Dr. Slaa, yakatokea yaliyotokea. Ila mimi kwa nia njema kabisa najiuliza,

Je, Mbowe anaendelea kuwa na imani na Lowassa kama mwanzo?

Ipi nafasi ya Lowassa ndani ya CHADEMA kulingana na aina ya siasa wanazofanya?

Je, CHADEMA na Mbowe watakua tayari kumsimamisha Lowassa uchaguzi ujao agombee urais?

Ikitokea kaachwa kugombea urais, Lowassa atakubali kuwa backbencher?
 
Daah! Sijui swali gani hili?? Hebu uliza na ya vyama vingine mfano CCM, CUF, NLD, NCCR.... Duuh!
 
Lowasa kasha kwisha kisiasa hawezi tena kuendelea mtu mwenyewe alikuwa anaomba uchaguzi uishe apumzike
 
Wamemlia pesa zake....watamtosa soon, will be a natural death...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…