M ms dimilion Member Joined Oct 24, 2015 Posts 15 Reaction score 1 Nov 16, 2015 #1 Natafuta kazi kwenye shirika,taasisi au hata kwa mtu binafsi nina diploma ya uhasibu.Ila sibagui kazi hata ambayo haipo kwenye taaluma yangu nafanya!Nipo mwanza
Natafuta kazi kwenye shirika,taasisi au hata kwa mtu binafsi nina diploma ya uhasibu.Ila sibagui kazi hata ambayo haipo kwenye taaluma yangu nafanya!Nipo mwanza