Nafasi ya kazi

Joined
May 30, 2015
Posts
31
Reaction score
3
Habari

ndugu zangu msaada wenu ni muhimu nnamdogo wangu anatafuta kazi yoyote inayohusu ukarani, secretary na nyenginezo halali kasoma certificate ya sheria pia anauzoefu wa miezi 6 mahakaman kama karani kwa yoyote mwenye taasisi au kampuni ambaye anaweza kumsaidia ani PM atashukuru.
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…