Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste upo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi ya mpishi.
Muombaji awe jinsia ya kike pia awe na ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kiTanzania kuanzia vitafunwa mpaka main dishes , awe mkazi wa Kilimanjaro .
Huduma ya chakula cha asubuhi, mchana na usiku kwa staff inatolewa na employer.
Maombi yote yatumwe WhatsApp kupitia namba ya simu 0752808396.