jndetembea Member Joined Feb 12, 2014 Posts 27 Reaction score 20 Sep 13, 2016 #1 Sifa za mwambaji Awe mkazi wa Mwanza (Nyamagana / Ilemela) Awe na elimu ya kidato cha NNE Awe na spidi ya Ku type Awe msichana Umri miaka 16-24 Tuna Maombi kupitia email Joyceissack@gmail.com Mwisho tarehe 02/10/2016 Wahi kutuma Maombi ili kupata nafasi hii.
Sifa za mwambaji Awe mkazi wa Mwanza (Nyamagana / Ilemela) Awe na elimu ya kidato cha NNE Awe na spidi ya Ku type Awe msichana Umri miaka 16-24 Tuna Maombi kupitia email Joyceissack@gmail.com Mwisho tarehe 02/10/2016 Wahi kutuma Maombi ili kupata nafasi hii.
soul provider JF-Expert Member Joined Jun 21, 2014 Posts 1,347 Reaction score 2,161 Sep 13, 2016 #2 Ngoja waje
lucida Member Joined Jul 6, 2016 Posts 18 Reaction score 9 Sep 15, 2016 #3 soul provider said: Ngoja waje Click to expand... Dah nmeikosa iyo sifa nnazo ila npo dar
soul provider JF-Expert Member Joined Jun 21, 2014 Posts 1,347 Reaction score 2,161 Sep 15, 2016 #4 lucida said: Dah nmeikosa iyo sifa nnazo ila npo dar Click to expand... Hamisha makazi mkuu, kambi popote..
lucida said: Dah nmeikosa iyo sifa nnazo ila npo dar Click to expand... Hamisha makazi mkuu, kambi popote..
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,276 Sep 15, 2016 #5 Asiwe ameolewa?? Hii sifa ngumu kweli halafu kama sijawahi iona mahala vile..................
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,276 Sep 16, 2016 #6 jndetembea said: Huwezi ukamchukua make wa na kumweka ofisini kwako wakati huna mke. Mme wake hata kuwa na Amani. Click to expand... Unatafuta "Mke" ama "Mfanyakazi"??? Hivi vitu haviingiliani bana wacha kabisa. Kwahiyo walioolewa wasifanyekazi???
jndetembea said: Huwezi ukamchukua make wa na kumweka ofisini kwako wakati huna mke. Mme wake hata kuwa na Amani. Click to expand... Unatafuta "Mke" ama "Mfanyakazi"??? Hivi vitu haviingiliani bana wacha kabisa. Kwahiyo walioolewa wasifanyekazi???