Anahitajika mtu mwenye uelewa mzuri wa Graphics designing.
Vigezo:
Awe anajua kutumia vizuri software za designing.
Uzoefu:
Sio chini ya miezi 6.
Jinsi ya kutuma maombi:
Tuma Cv pamoja na portofolio kwenda email:
aplication244@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi: 18/07/2017.