Anatafutwa mwanamke/mama kwenda kufanya kazi za ndani (housemaid) nchini Dubai.
Awe na sifa zifuatazo:
- Awe na umri wa miaka 35 na kuendelea
- Muumini kwa Kiislam
- Aweze kuongea Kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha
- Ujuzi wa kufanya kazi za ndani (house keeping) ni muhimu
- Awe Mwaminifu na mchapa kazI
Tuma CV kwa E-mail:
dvisass@yahoo.com