Salam wakuu!
Kwa yeyote mwenye kufahamu au mwenye kumiliki kampuni inayohusiana na mambo ya logistics, naomba msaada wa nafasi za field kwa ajili ya wadogo zangu wawili. Wanasoma NIT - Certificate.
Wanatakiwa kuanza tar 15 mwez huu.
Thank you in advance.