Mushi Richard E
Member
- Jan 21, 2011
- 11
- 0
Ahsante nimeona ila mimi nataka wafanyakazi, kama una contacts za wanafunzi wako waliofuzu nipatie tafadhalisoma post yangu ya juzi ya kwa wadau wa iT kwenye platform hii
Sijakuelewa. Utata kwa vile natumia jina halisi?
Sijakuelewa. Utata kwa vile natumia jina halisi?
<br />Ahsante nimeona ila mimi nataka wafanyakazi, kama una contacts za wanafunzi wako waliofuzu nipatie tafadhali
wewe mushi acha usengerema wako, maguya mwenyewe alikukamata C leo, eti unataka kuajiri watu wenye ujuzi wa c programmining, kwanza kimeo chako cha maguya umekiclear kweli? usitake lutuibia wazee wama PHP tumelia hatuongei,