Nafasi 10 za kujiajiri

Mkuu hiyo ni laki saba na nusuuuu au sabini na tano elfuuuu???
 
mleta mada umeanza vizuri umearibu na ujinga wa fl yaani wote waliopo uko ninaowafahamu wamepauka wamebaki vumbi na imani na wao watatoboa ila sioni mabadiliko yao kuna rafiki yangu nikamuuliza hivi kwa akili yako watanzania wangapi wanaweza kununua dawa ya mswaki elfu kumi na tena kwa familia zetu akafikiria akasema da wachache nikamwambia kawauzie sasa hao mpaka leo n mzigo wake nauona haupungui na siku zinaenda fl mnawatesa vijana
 
Sina hamu na hii kampun kabisaaa,niliambiwa lakin nikasema ngoja nijaribu but kilichonikuta forever siitaman na naichukia hakunaa mfano yaan n wez watupu hakuna cha kutajirika wala nn yan nilijikuta nmepotez a lot of money yan. Najuta

pole sana ndugu ila sahau yaliyopita songa mbele mungu atakusaidia
 
teamsucces hivi unaakili timamu kweli? Yani unavyoitaja hiyo forever living Sehemu nyingine watakupiga .
 
manina zako ulieleta mada... ungejua nilivokua na hasira baada ya hilo kampuni lenu la kisenge kunifilisi kamtaji kangu kwa mabidhaa ya kipumbavu ata usingeleta huu upuuzi... Yaani nyie kwa dhambi mnayofanya mnastahili adhabu ya kupakuliwa nyuma... fumbafuuuu thana
 
Nyie mnafanya watu kuwa vibarua wenu tu..bidhaa zenu gali sana mtanzania wa kawaida hawezi ku afford. .duoderant ya 4000 mnauza 12000...utamuuzia Nani? ??bora hyo hela ya kujiunga ufugie kuku tu
 
Bandugu Sumatra na Mbeya Cement hawajaita watu kwenye usaili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…