Twende tukaoe.
wapi ?
Iringa.
kwanini ?
(kimya)
hata kuoa nako kuna hitaji maamuzi magumu.
ndio mwalimu.
Ndio,kwanini ?
kwa sababu ya saa ya mkononi hailingani na saa ya ukutani kimajira.
anhaaa,sasa ?
ukitaka kula nawa mikono yako kwa sabuni na maji ya moto,kisha paka mafuta mwili mzima.
ili ?
itakuwa rahisi kuwatoroka.
kina nani ?
wapishi.
ndo maana wakipika hawali wao.
hapana kwa sababu wanapika vyakula wasivyo vijua.
wao ?
ndio.
kama nakuona vile ukilia,ulimuhadithia baba yako ?
ndio,sikumuhadithia
lakini anajua ?
hapana,anajua .
kwani Iringa ni karibu kutoka Dar ?
hapana,ila si mbali sana.
poa na mimi hivyo hivyo
unaenda oa Iringa ?
hapana.
wapi ?
Mafinga
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha.