Naelekea kubaya au?

Tatizo mnaamini sana ya kusikika;

Mmachame hana shida kabisa, tena ukimpata mmachame baaaasiiii umaskini unakimbia wenyewe taratibu; wanajua kutafuta mbumba(mpunga/pesa).

Oa fasta Mkuu huyo, acha kugegeda tuuu!
 
Hivi mnaoaga kabila au mke, ndugu yangu kama umemchoka huyo mdogo wangu mwambie tu ukweli atafute mwoaji. Kila mkichoka kuwagegeda mnawaanzishia thread, kwanini ukiwa unarusha tongozo usiulize kabila kwanza ili usumbufu wa aina hii usiwepo.
 
Yaani badala uangalie sifo za binti uliyenae unaangalia kabila!!! Kwani tokea uwe nae ni kipi haswa umekiona hakiko sahihi?
 
sio kirahisi hivyo bado nipo nipo nae labda naeza badili mawazo
 
Hayo ndio mapenzi mkuu we endelea kumpa hela tu kama hivyo huna mpaka unakopa

Ebu siku jaribu kumwambia huna hela ukae kama miezi hivi usimpe hata mia umuone sawa mkuu ubarikiwe
[emoji41][emoji41]
 
Yaani badala uangalie sifo za binti uliyenae unaangalia kabila!!! Kwani tokea uwe nae ni kipi haswa umekiona hakiko sahihi?
Kila mtu ama kasoro but sijaona ya kusababisha mm kushindwa kumuoa but hilo kabila no pliz
 
Kila mtu ama kasoro but sijaona ya kusababisha mm kushindwa kumuoa but hilo kabila no pliz
Utakuja kumkumbuka na kujuta baadae we endeleza ukabila wako na wakati huo atakuwa amesha bebwa na mtu asiye na ukabila kama weweee. Kama nakuona utakavyo kuwa una umia moyo. Kumbuka majuto ni mjukuu
 
Wachaga siku hizi nao wamekuwa fundi wa mapenzi
 
Dhambi ya ukabila haitakuacha salama,umempenda mtu kuwa nae acha kutengeneza illusions zisizo na maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…