mwangangafyelile
Senior Member
- Apr 10, 2017
- 166
- 204
We endelee kuelekea "KUBAYA" maana muda si mrefu utafika "KUZURI".Nisiwachoshe sana mada tajwa hapo juu...aisee ni six months sasa nadate na kadem fulani hivi...keupe,karefu,model na dizain fulan hi ni kafundi pande zile,toka nimedate nako upendo kwangu unazid kuongezeka kwa kasi ya ajabu,,yaan imefikia muda sasa kakisema chochote nakuwa mpole hata kakiniomba hela natoa tu hata kama sina nakopa,,,,aisee yaan now imefikia hatua nimeamua chochote kwa ajili yake...uzuri ni kwamba hakana dharau wala sijawahi kakuta na skendo yeyote...mgegedo napata tena wa kutosha...kamemwambia hadi mama yake kwamba mm ndio eti mume wake mtarajiwa......sasa ngoma inakuja pamoja na kumpenda kote huko kuna ukweli upo ndani yangu pia kabila lake wana sifa mbaya sanaa...ni mmach..me,kwa hali ilivyo na sifa zao nazozisikia naogopa sana...wadau sijui nifanye nn ili hali kuna ukweli ndani ya moyo wangu nampenda!
KumbeeWe endelee kuelekea "KUBAYA" maana muda si mrefu utafika "KUZURI".
Duh...cv mbaya hii achaMkimbie haraka huyo atakuwa tiketi ya kukupeleka kuzimu
Mmh....y wako vile lknWamachame Wachie Wamachame. Siwezi kuwaelezea humu cha muno utaumia
Mchaga but sio mmach.mIngekuwa vyema sana nawe utaje kabila lako ili kuwe na usawa wa katika mjadala...
Kwa kadiri uonavyo kasoro katika kabila la mwenzako hata la kwako pasi na shaka lina kasoro pia...
Yapi hayo mkuu mbona tunatishanaunaenda vizur sooon watafanya yaooo
Nisiwachoshe sana mada tajwa hapo juu...aisee ni six months sasa nadate na kadem fulani hivi...keupe,karefu,model na dizain fulan hi ni kafundi pande zile,toka nimedate nako upendo kwangu unazid kuongezeka kwa kasi ya ajabu,,yaan imefikia muda sasa kakisema chochote nakuwa mpole hata kakiniomba hela natoa tu hata kama sina nakopa,,,,aisee yaan now imefikia hatua nimeamua chochote kwa ajili yake...uzuri ni kwamba hakana dharau wala sijawahi kakuta na skendo yeyote...mgegedo napata tena wa kutosha...kamemwambia hadi mama yake kwamba mm ndio eti mume wake mtarajiwa......sasa ngoma inakuja pamoja na kumpenda kote huko kuna ukweli upo ndani yangu pia kabila lake wana sifa mbaya sanaa...ni mmach..me,kwa hali ilivyo na sifa zao nazozisikia naogopa sana...wadau sijui nifanye nn ili hali kuna ukweli ndani ya moyo wangu nampenda!
NdioKumbee
ShindwaaaaaHana tatizo Mkuu Wewe ' muoe ' tu hasa ukizingatia kuwa ' mnapendana ' mno ila cha msingi tu kabla au baada ya Ndoa yenu jitahidi sana uwaelekeze Ndugu zako wapi ' wakuzike ' kama ikitokea ' umekufa ' ghafla.
Nimekula sana sasa cha ajabu naona nanogewa huko hukoKula vyombo hvo,achana na ukabila.
Kwani nipo kibitiJiandae kwa lolote kisaikolojia kamanda
Naam huna tofaut na walio kibitiKwani nipo kibiti