ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 923
- 1,304
Dah nawaza sana maana ana upendi sana aiseee...ila nawaza namna bora ya kuachana nae maana amenifanyia mengi mema nafsi inanisuta kweli...but kiukweli pia kabila lake ni kikwazo kikubwa kwangu...only thatPole sana mkuu, kama unaona kabila ni kikwazo tafuta mwingine tu
Hahahaaaa huo ni mfano mdogo tu mkuu usikutishe nimejaribu kuelezea japo hapo kuna chumvi japo si nyingi sana.....huwa nakazingua sina pesa sometimes na huwa ananielewa na hata kununua vizawadi analeta sana...in short ni mwelewa but sio kila siku namwambia sina pesa inakuwa noma bana halafu demu mwenyewe mkali...[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hayo ndio mapenzi mkuu we endelea kumpa hela tu kama hivyo huna mpaka unakopa
Ebu siku jaribu kumwambia huna hela ukae kama miezi hivi usimpe hata mia umuone sawa mkuu ubarikiwe
Basi wowa tuuuuuuuHahahaaaa huo ni mfano mdogo tu mkuu usikutishe nimejaribu kuelezea japo hapo kuna chumvi japo si nyingi sana.....huwa nakazingua sina pesa sometimes na huwa ananielewa na hata kununua vizawadi analeta sana...in short ni mwelewa but sio kila siku namwambia sina pesa inakuwa noma bana halafu demu mwenyewe mkali...[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna makabila nuksi mkuu hayafai kuoa au hujawahi kusikiaYani wewe umependa au umepewa limbwata mkuu,anyway mapenzi na kabila ni vitu viwili tofauti.Hofu yetu ni wewe baadae kuwa mume bwege.Maana unapoelekea siko
Hapo ndio utata unapokujaBasi wowa tuuuuuuu
Tusaidie tuyajue mkuu utaokoa nguvu kazi ya taifa aseeKuna makabila nuksi mkuu hayafai kuoa au hujawahi kusikia
mmh aisee tabu kweliDah nawaza sana maana ana upendi sana aiseee...ila nawaza namna bora ya kuachana nae maana amenifanyia mengi mema nafsi inanisuta kweli...but kiukweli pia kabila lake ni kikwazo kikubwa kwangu...only that
Kweli lkn mmhNdio umuoe sasa. . Kabila limefanya nini? Kumtafutia dada wa watu visababu
Ile kitu kupenda wengine tunaitafuta hatuipati, unaelekea kuzuri kabisa mkuuNisiwachoshe sana mada tajwa hapo juu...aisee ni six months sasa nadate na kadem fulani hivi...keupe,karefu,model na dizain fulan hi ni kafundi pande zile,toka nimedate nako upendo kwangu unazid kuongezeka kwa kasi ya ajabu,,yaan imefikia muda sasa kakisema chochote nakuwa mpole hata kakiniomba hela natoa tu hata kama sina nakopa,,,,aisee yaan now imefikia hatua nimeamua chochote kwa ajili yake...uzuri ni kwamba hakana dharau wala sijawahi kakuta na skendo yeyote...mgegedo napata tena wa kutosha...kamemwambia hadi mama yake kwamba mm ndio eti mume wake mtarajiwa......sasa ngoma inakuja pamoja na kumpenda kote huko kuna ukweli upo ndani yangu pia kabila lake wana sifa mbaya sanaa...ni mmach..me,kwa hali ilivyo na sifa zao nazozisikia naogopa sana...wadau sijui nifanye nn ili hali kuna ukweli ndani ya moyo wangu nampenda!
Utata upiiii acha woga wowaa tuHapo ndio utata unapokuja
Sawa but jua si vyema kila wakati huna pesa banaa...sometime ukiwa hata na deni akili ya kutafuta pesa inaongezeka...sema tu isizidi uwezo wakoMaisha haya na huu uchumi wa Magufuli mdogo'angu nakuasa acha kukopa kwa ajili ya mapenzi watakuja wakupukutishe mpaka boxer uliyovaa huku huyo gal akienda kwa wengine fanya kopa kwa malengo sio mapenzi!!!