roksamet5 Member Joined Dec 6, 2015 Posts 20 Reaction score 22 Sep 10, 2016 #21 Kumbe ni watu wa diploma na chet nikajua undergraduate guys
Abu_yazid JF-Expert Member Joined Mar 28, 2014 Posts 3,435 Reaction score 4,254 Sep 10, 2016 #22 roksamet5 said: Kumbe ni watu wa diploma na chet nikajua undergraduate guys Click to expand... SAWA
emmaalphonce Member Joined Sep 1, 2016 Posts 34 Reaction score 16 Sep 10, 2016 Thread starter #23 roksamet5 said: Kumbe ni watu wa diploma na chet nikajua undergraduate guys Click to expand... Bachelor si TCU au
roksamet5 said: Kumbe ni watu wa diploma na chet nikajua undergraduate guys Click to expand... Bachelor si TCU au
Julius Husseni JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 1,435 Reaction score 1,195 Sep 10, 2016 #24 Kweli kila kitu Kipo kwenye profile lako nacte wamekuambia wap ukasome
A ankoekka Member Joined Jul 23, 2016 Posts 85 Reaction score 21 Sep 10, 2016 #25 Wameniandikia Diploma in Medical Laboratory wakati nilitaka Clinical Medicine.
Level Florian JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 202 Reaction score 38 Sep 10, 2016 #26 Abu_yazid said: NGOJA TUSUBIRI TUONE Click to expand... Ushaangalia
Level Florian JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 202 Reaction score 38 Sep 10, 2016 #27 ankoekka said: Wameniandikia Diploma in Medical Laboratory wakati nilitaka Clinical Medicine. Click to expand... medical lab. Uliichagua kwani?
ankoekka said: Wameniandikia Diploma in Medical Laboratory wakati nilitaka Clinical Medicine. Click to expand... medical lab. Uliichagua kwani?
Suip JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,374 Reaction score 848 Sep 10, 2016 #29 ankoekka said: Niliiweka ya pili, Click to expand... Clinical Medicine ina competition kubwa kwani F6 walipoona points za kwenda vyuo vikuu imepanda wamekimbilia huko
ankoekka said: Niliiweka ya pili, Click to expand... Clinical Medicine ina competition kubwa kwani F6 walipoona points za kwenda vyuo vikuu imepanda wamekimbilia huko
ommky JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 459 Reaction score 225 Sep 10, 2016 #30 ivi kama umepangiwa medical lab chuo flan, ina faa kubadilisha course ukifka chuo ukaenda clinical medicine
ivi kama umepangiwa medical lab chuo flan, ina faa kubadilisha course ukifka chuo ukaenda clinical medicine
cavee Senior Member Joined Jul 16, 2016 Posts 100 Reaction score 29 Sep 10, 2016 #31 Kama umeandikiwa provision wewe unatakiwa kusubiri awamu ya pili
joseph62 Member Joined Aug 31, 2016 Posts 13 Reaction score 2 Sep 11, 2016 #32 Suip said: Kweli kuna dogo nilimsaidia kuomba kapata Diploma in Nursing- Dareda Manyara ila pale chini pameandikwa Pending Click to expand... huyo kashapata asubir tu chuo kicorfim
Suip said: Kweli kuna dogo nilimsaidia kuomba kapata Diploma in Nursing- Dareda Manyara ila pale chini pameandikwa Pending Click to expand... huyo kashapata asubir tu chuo kicorfim