Nikiweka S badala ya U naletewa message hii:Tumia herufi S kama ni S mwanzoni au kama ni P tumia P mwanzoni na sio U
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sio kuna namba umekosea kweli jaribu kucheki vizuriNikiweka S badala ya U naletewa message hii:
'Error! Provided Index/Registration number and Examination/Graduation Year not found in our database, check them and try again (Code 4001)'
Kila chuo ninacho'apply' wanataka AVN kutoka NACTE, nime'register' NACTE na kujaza information zote zinazotakiwa, nimekuja kukwama wakati wa kujaza Index No ya FTC ambayo ipo katika mfumo wa UXXX-XXXX, nimejaza kama ilivyo, nikienda next, inagoma with the following message:
'Error! Incorrect Index number format, Use SXXXX/XXXX or PXXXX/XXXX formart and try again (Code 1000)'
Sasa nashindwa kuelewa nifanyaje
LET ME CHECK THATWasiliana na chuo chako kuna baadhi ya majina vyuo vilisahau kusabumit data zao nacte,, pole sana boss
Sent using Jamii Forums mobile app
MPAKA NIENDE NA CHETI, HOW ABOUT A PHOTOCOPY?Nilikuwa naina shida kama yako.. Chakufanya nenda nacte ukiwa na cheti watakurekebishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuata ushauri huo. Kuna dada alikuwa na shida inayofanana na hiyo akaenda nacte wakarekebisha. Cm zao hawapokei ukipiga na email hawareply so nenda tu nacte bila AVN huwezi kuapply.Nilikuwa naina shida kama yako.. Chakufanya nenda nacte ukiwa na cheti watakurekebishia
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, nimeenda NACTE nimefanikiwa kupata Award Verification Number, nimejaza. Kuna Registration Number tena natakiwa kujaza, nayo sijui ni ya wapiFuata ushauri huo. Kuna dada alikuwa na shida inayofanana na hiyo akaenda nacte wakarekebisha. Cm zao hawapokei ukipiga na email hawareply so nenda tu nacte bila AVN huwezi kuapply.
Chuo bado hawajaingiza matokeo yako .haraka rudi kaulize chuoniNikiweka S badala ya U naletewa message hii:
'Error! Provided Index/Registration number and Examination/Graduation Year not found in our database, check them and try again (Code 4001)'
Tumia herufi S kama ni S mwanzoni au kama ni P tumia P mwanzoni na sio U
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu ukianza na herufi S namba zinazofuata ni za form form auTumia herufi S kama ni S mwanzoni au kama ni P tumia P mwanzoni na sio U
Sent using Jamii Forums mobile app