NACTE NA AVN NUMBER

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Waungwana naomba kujulishwa.
Kuna chuo fulani kuliendesha masomo ya diploma kabla ya masharti yale ya D 4 ukitoa ya dini ama walikuwa wanawachukua tuuu wanafunzi mwenye alama zozote ili chuo kijipatie kipato haram.

Sasa waliojitambua waliamua kujiendeleza na kurudia mtihani wa form four kwa ajili ya kupata sifa za kuenda degree.

Sasa kwa wale walio na D 3 wakiamua kuomba AVN sisystem ikiwakataa vipi wataweza kufanya tena baada ya kukamilisha sifa.

Na watakaokamilisha kwanza kisha wakaomba jeee watakubaliwa maana itakua wamesoma diploma kwanza bila ya kua na sifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hao wenye D4 wamekosa sifa za kwenda chuo (degree) kwa kutokea diploma.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…