Nacte mnatoaje vyeti bila matokeo

NOKIALUMIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
397
Reaction score
280
Ndugu zangu kuna mdogo wangu anatesekq sana yaaan alimaliza 2017 cheti kapata mwaka huu Lakin akifuatilia transcript wizarani eti a naambiwa chuo Chao hakijatuma matokeo seriously???? Chuo wamesema matokeo wametuma.... Yaaan wanarushiana mpira kama Yanga na timu ya wakurya biashara [emoji6]. Duu mwenye ushaur jaman
 
Kwan wizara inatoa transcript??
Hebu tuanzie hapo....
 
Mkuu funguka huyo dogo kasomea nini na level gani na chuo gani-utapata ufafanuzi.
 
Nacte ya JPM
Acha aisome namba


Vijana wengi mnao soma
Mlivoambiwa chaguo la kwanza elimu la pili elimu na latatu elimu
Mkamuona mpumbavu.

Sasa subirn muone kama kuna atae ambiwa mzembe apo
Kama sio wew mwanafunz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…