kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Chagua chadmea chagua lowasa
kuhusu posti kuweni na subira kwani mchakato wa kudahili ndo upo mwishoni kwa degree,ila kuna uwezekano yakatolewa pamoja na ya diploma kwa sababu tarehe ya kijiunga na chuo husika imeshatajwa.Suala la kubadilika kwa capacitiy ni kwamba hiyo namba inayokuwepo kwa mda huo ndio nafasi zilizopo kwa chuo husika.
Hata kama ni chadema. Ila kwa sasa inabidi tupate ufumbuzi wa swala lilipo mezaniChagua chadmea chagua lowasa
Dah..
Hii inasikitisha.
Kwenye capacity, watu waliomba walipoona kuwa na uwezekano wa kupata kozi hizo kwa vigezo kama capacity ya INTAKE ila inapochange kabla hatujachaguliwa inakuwa si jambo jema. Labda iwe ndo tunachaguliwa sasa na hizo capacity changes hazitatuaffect.
Kwa mfano:
kuna Chalii mmoja nimemwombea chuo na leo asubuhi nimeangalia nimekuta kozi tatu zina capacity ya zero na mbili zikiwa na 8,9 respectively.
Kwa hiyo matokeo yatatoka karibu na muda wa kufungua chuo???? inspekta
Poa kamanda ngoja tusubiri tuone. Hicho ndo kitu tunachoweza fanya wakati huu. Fuk PoliticiansUnapofanya choices unatakiwa uangalie capacity ya hicho chuo na walioselekt kama 1st choice then ndo ukichague..na hilo la post ni siri ila kwa kuwa vyuo vitafunguliwa november mwanzoni basi kati ya september mwishoni au oct mwanzoni mzigo utakuwa hewani.
Wakuu Kuna mdogo wangu sehemu ya capacity wameandika 0 kote isipokua chuo kimoja tu wameweka negative 20 (-20)hapo maana Yake nini wakuu.
DUh kwa hali hii tutafikaIt means kwamba miongoni mwa waliochagua chuo hicho kama 1st choise,ishirini wameachwa mkuu.
DUh kwa hali hii tutafika
Nimeingia katika NOAS sasa nimekuta capacities zimebadilika tena now hakuna zero tena ni 2 2 10 10 5Ondoeni shaka wandugu,maombi yanahitajika kwa wingi.