Nacte imeachiaaaaaaa >>>...?

Mbna hawa Nacte wako kimyaa kulikon mm nmeskia wamepost kumb Bdo daa
 
Mmh hii ni Bongo kaka ila 3.8 sio jambo la kitoto
 
Finance mwanzo mwisho nina A, still naomba hiyohiyo finance wanasema"Not Eligible"!!! :
 
Ukumaliza hyo hatua unaingia kwenye hatua nyingine inaitwa "wait for confirmation". Hapo pia kunahitaji uvumilivu
 
Finance mwanzo mwisho nina A, still naomba hiyohiyo finance wanasema"Not Eligible"!!! :
System ikikuona haupo eligible wakati wewe una qualification unapaswa ufatili lazima kuna kitu kina miss. jaribu kucheck kama gpa yako inaonekana kwenye profile kama gpa ipo kingine ni lazima uwe na pass 4 za form four. mimi nimehangaika ofisi za nacte kwa wiki 2. shida na mimi system ilikuwa inanitema. kila wakirun system inayo check eligibility kwangu ilikuwa ina conclude not eligible. na mimi nina qualification kabisa. kumbe shida ilikuwa matokeo ya diploma yalikuwa incomplete kuna semester nilipata supp nilivoichomoa chuo hakiku submit matokeo yangu nacte kwa hiyo matokeo waliyoweka kwenye system yao yakawa yanaonyesha sija clear supp. nilifatilia hadi wakafanya marekebisho. walipo run system ya eligibility. nikawa eligible kwa kozi zote nilizoomba. na walipo run selection nikapangiwa chuo. jaribu kufatilia matokeo yako na hili swala watu wengi hawajui
 
Ingia web ya nacte see updates ya tareh 28/9/2015.fungua then Utaona joining instructions kisha download
 
yawezekana una 3.8 but matokeo ya form four haukufanya vizuri, kwani huwa wameandika kabisa qualification za form 6,4 au diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…