M mkata kamba Member Joined Apr 4, 2017 Posts 9 Reaction score 6 Apr 22, 2017 #1 Habarini wana JF, naombeni kujua Balaza linalosimamia elimu ya ufundi Tanzania Nacte huchukua muda gani adi kuja kuzitoa Academic transcript? msaada wenu jamani
Habarini wana JF, naombeni kujua Balaza linalosimamia elimu ya ufundi Tanzania Nacte huchukua muda gani adi kuja kuzitoa Academic transcript? msaada wenu jamani
Jonas hemed Member Joined Jul 23, 2018 Posts 21 Reaction score 6 Apr 6, 2019 #2 Kwajinsi navyo elewa kulongana na taarifa zao Ni Massa 70 na mawili