Kwanini kwene Guide book ya 2018/2019 hamkuweka limit ya mwaka wa kuhitimu form 4 kwa vyuo vya serikali?,Pole Sana kwa yanayokukuta, usikate tamaa.
Changamoto tunayokutana nayo wakati wa uchaguzi wa vyuo ni kutokuangalia idadi ya wanaohitajika, Applied so far, Available Slots, Muda wa kutuma maombi Na aina ya Kozi unayochagua.
Aidha wengine kutaka kuchaguliwa kwenye vyuo vyenye Majina au Kutossoma Guided Books vizuri KUNAWAKOST SANA.
Kwa upande wako yawezekana ulichelewa kuomba, Yaan uliomba wakati muda ushaenda Sana so wenzako wengi washaomba au Kama Uliwahi basi USHINDANI ULIKUWA MKUBWA SANA kwa vyuo vya Serikali.
Ni vizuri mkawa wasaidizi wazuri kwa wadogo zenu juu ya machaguzi ya vyuo na Kozi ya kusoma.
KUHUSU INTAKE YA MARCH (Mwez wa 3) hiyo Ilifutwa toka mwaka Jana 2017 hasa kwa vyuo vya serikali, kwa binafsi sina uhakika.
Kwa sasa angalia fani yoyote uendelee kusoma au kazi ya kufanya kwa muda ili uombe tena mwakani kama unataka kusoma hiyo Kozi.
Una division ngapi mbona masomo uliyoyataja hapo ni matano tu au necta wamebadili utaratibu wa idadi ya masomo kuweza kutafut division?Habarin zenu wanajamvi natumai mko poa kwa wale ambao hali Si nzuri basi Mungu awafungulie njia.
Niende kwenye mada naomba kuuliza wakuu hiv Nacte wanaangalia vigezo gani haswa?? Nmeomba vyuo vya afya kwa govt nimekosa na ufaulu wang form 4 :katika PHYSICS-C,CHEM-C,BIOLOGY-B ENGLISH-C,MATH-D Nlitaka diploma ya Medical Lab lakin cjachaguliwa je wanaangalia vigez gan haswa,,???
Ningeomba pia ushauri nmesikia kuna intake ya mwez 3 naomba mwenye kujua kuhusu hilo anipe ufafanuzi ni vyuo gani vinachukua,,,!!!!
Asanteni sana Ntangulize shukrani!!!
Mwaka wa kuhitimu form 4 hichi kigezo hakina ulazima labda kwa baadhi ya koziKwanini kwene Guide book ya 2018/2019 hamkuweka limit ya mwaka wa kuhitimu form 4 kwa vyuo vya serikali?,
Matokeo yake mumeacha watu waingie gharama wakidhani kigezo cha mwaka wa kuhitimu form 4 hakina ulazima?
Asante kwa ushauri mzuri,nmeona wameweka third round ila ni kwa mafunzo ya ualimu tuu, vipi nikienda ualimu baadae naweza kuja kusoma medical lab. tena ??Pole Sana kwa yanayokukuta, usikate tamaa.
Changamoto tunayokutana nayo wakati wa uchaguzi wa vyuo ni kutokuangalia idadi ya wanaohitajika, Applied so far, Available Slots, Muda wa kutuma maombi Na aina ya Kozi unayochagua.
Aidha wengine kutaka kuchaguliwa kwenye vyuo vyenye Majina au Kutossoma Guided Books vizuri KUNAWAKOST SANA.
Kwa upande wako yawezekana ulichelewa kuomba, Yaan uliomba wakati muda ushaenda Sana so wenzako wengi washaomba au Kama Uliwahi basi USHINDANI ULIKUWA MKUBWA SANA kwa vyuo vya Serikali.
Ni vizuri mkawa wasaidizi wazuri kwa wadogo zenu juu ya machaguzi ya vyuo na Kozi ya kusoma.
KUHUSU INTAKE YA MARCH (Mwez wa 3) hiyo Ilifutwa toka mwaka Jana 2017 hasa kwa vyuo vya serikali, kwa binafsi sina uhakika.
Kwa sasa angalia fani yoyote uendelee kusoma au kazi ya kufanya kwa muda ili uombe tena mwakani kama unataka kusoma hiyo Kozi.
Nina division 2 masomo mengine yote yaliyobak nikimaanisha Histor,Kiswahil na Civics nina alama C. Nmetaja hyo matano kwa sabab Nacte wanayangalia hayo sana.Una division ngapi mbona masomo uliyoyataja hapo ni matano tu au necta wamebadili utaratibu wa idadi ya masomo kuweza kutafut division?
Dah, una bahat mwanangu.duuu pole mzee ..ata mimi mwakajana yalinikuta ayo ayo but mwaka huu jah ka bless....sema nini awanaga intak ya mwezi watatu walitoaga ko mpaka mwakan mwez wa tisa ivii ila kwa private ata asaiv unapataa mzee ni pesaa tuu