NACTE -GPA Calculation for Higher learning Admission

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2012
Posts
3,905
Reaction score
4,230
Hi bosses,

Nimemaliza diploma ya clinical medicine 2011.

Sasa na-plan kupiga shule this year, ila kuna kitu kinanitatiza with regards to GPA inayohitajika wakati wa admission.

Ile paper ya NACTE (wizara ) ya NTA level 6 nina GPA ya 3.7, ila cumulative nina GPA ya 3.0 ,sasa wana consider ya mwisho (semester 6/paper ya wizara) au cumulative ?,thanks,l.

Regards,

Da Hustla.
 
Wanaconsider ya NTA level 6. Ila kwa hiyo GPA kwa namna ya vijana wa sasa wanavyo’pewa’ ni ngumu kupata nafasi.
 
Wanaconsider ya NTA level 6. Ila kwa hiyo GPA kwa namna ya vijana wa sasa wanavyo’pewa’ ni ngumu kupata nafasi.
Mungozo huu hapa, pia endelea kusubiri muongozo zaidi.

Unaweza kupiga Advanced Diploma pia ili ujihakikishie njia nzuri ya kwenda Degree.
 
Mungozo huu hapa, pia endelea kusubiri muongozo zaidi.

Unaweza kupiga Advanced Diploma pia ili ujihakikishie njia nzuri ya kwenda Degree.
Si kila kozi ina advance diploma, mfano kwa upande wa medicine advance diploma (AMO) ilishafutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…