Kuna sababu nyingi, ambazo mpaka kuzichanganua itabidi tukuulize maswali mengi maana haujaweka mambo yote hadharani. Ila at your age, kama haufanyi mbinu zozote kuhakikisha unachelewa, kisayansi inawezekana una tatizo kwenye nerve cells zako. Ila mtaani inaweza kuwa advantage kwako kama unajua "kuchanga karata" zako vizuri.