mnang'umba JF-Expert Member Joined Jun 26, 2015 Posts 471 Reaction score 150 Sep 2, 2018 #1 Tunajua yule aliemfufua bwana Yesu, Atatufufua sisi pamoja na Yesu na atatuweka mbele pamoja nanyi;: Huyo ana wafufua atakuwa nani? Wakati Yesu ndo Mungu? Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua yule aliemfufua bwana Yesu, Atatufufua sisi pamoja na Yesu na atatuweka mbele pamoja nanyi;: Huyo ana wafufua atakuwa nani? Wakati Yesu ndo Mungu? Sent using Jamii Forums mobile app
Mromboo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 3,073 Reaction score 6,909 Sep 2, 2018 #2 Soma vizuri kitabu cha Nabii Isaya. Utagundua vitu vingi vizuri sana.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,884 Reaction score 82,531 Sep 2, 2018 #3 Kama unaamini katika utatu mtakatifu basi hutakuwa na maswali mengi hapa. Mungu ni mmoja katika nafsi tatu 1. Patris 2. Filli 3. Spirito Santo Usipoelewa basi Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaamini katika utatu mtakatifu basi hutakuwa na maswali mengi hapa. Mungu ni mmoja katika nafsi tatu 1. Patris 2. Filli 3. Spirito Santo Usipoelewa basi Sent using Jamii Forums mobile app
Abuu Said JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 4,009 Reaction score 4,776 Sep 2, 2018 #4 Yesu sio Mungu bali ni mtume wa Mungu 'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,884 Reaction score 82,531 Sep 2, 2018 #5 Usipoelewa na hapa basi Sent using Jamii Forums mobile app
Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,987 Reaction score 2,502 Sep 2, 2018 #6 Mungu, ndio Sent using Jamii Forums mobile app
A Ambase JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 562 Reaction score 480 Sep 2, 2018 #7 Wakolinto kiswahili gani wakorinto Sent using Jamii Forums mobile app
mnang'umba JF-Expert Member Joined Jun 26, 2015 Posts 471 Reaction score 150 Sep 2, 2018 Thread starter #8 Ambase said: Wakolinto kiswahili gani wakorinto Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nani kamfufua Yesu? Sent using Jamii Forums mobile app
Ambase said: Wakolinto kiswahili gani wakorinto Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nani kamfufua Yesu? Sent using Jamii Forums mobile app
IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,881 Reaction score 7,535 Sep 2, 2018 #9 Theologically swala la utatu Mtakatifu linahusika lakini in short anaezungumziwa hapo ni Mungu mwenyewe
Theologically swala la utatu Mtakatifu linahusika lakini in short anaezungumziwa hapo ni Mungu mwenyewe
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,800 Reaction score 4,908 Sep 2, 2018 #10 Endelea kusubiri kisichokuwepo,,
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Sep 2, 2018 #11 Unataka uelewe ili iweje Sent using Jamii Forums mobile app
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,888 Reaction score 13,645 Sep 2, 2018 #12 Bible inachanganya sana! Sent using Jamii Forums mobile app
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,334 Reaction score 5,326 Sep 2, 2018 #13 mnang'umba said: Nani kamfufua Yesu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwani yesu alifufuliwa au alifufuka?
mnang'umba said: Nani kamfufua Yesu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwani yesu alifufuliwa au alifufuka?