Nina bibi yangu ambaye mume wake alishafariki kitambo yaani babu yangu lakini kuna babu huyoo alikuwa anamsumbua bibi yangu hadi bibi anaingia line na wakawa wapenzi tulichekajee sie wajukuu heheekweli mapenzi hayana umri bado tu unapenda na kupendwa
basi kwa hali hii umekamilisha kila kituNina bibi yangu ambaye mume wake alishafariki kitambo yaani babu yangu lakini kuna babu huyoo alikuwa anamsumbua bibi yangu hadi bibi anaingia line na wakawa wapenzi tulichekajee sie wajukuu hehee
Heheheheheee kimya kingi kina mshindo mwingii. ...... He is an action man, yaani amenintendea ya kunishangaza hadi vidole vimekuwa vinarudi nyuma kila nikitaka kuandika.......Kasie huo mrejesho veepe
Hongera zako Kasie, kweli unafaudu mautamu wewe[emoji39]Heheheheheee kimya kingi kina mshindo mwingii. ...... He is an action man, yaani amenintendea ya kunishangaza hadi vidole vimekuwa vinarudi nyuma kila nikitaka kuandika.......
The best part of him.... He is cutee and I love him to death..... yes to death.
He is superb...... sweet pie πππ
is james really survive?James,
Siwezi kutazama nyuma kwani nimegundua mapenzi yaweza mkuta mzee au kijana hayajali umri ulio nao.
Kasie mie ni kibibi bin ajuza ngozi imeanza kupata makunyanzi lakini mapenzi yako kwangu najiona kama ni mschana wa miaka 18.......
Macho yangu mtazame James..... weeweeee ndo nakupendagaa... Moyo wangu tembea na James ...... namwamini sana.......
Shika moyo wangu baby uutunze.... huenda nafsi yangu ikapoaa aah aahaa...
Kuna mudaa namuomba Mola angekuleta mapemaa oooh ila .............
James ndo unayejua maumivu yanguuu
Mooyoo wangu.........
Love you James. .......
Happy Valentine from Kasie.
Muah!! πππ
"Tears on my pillow..... pain in my heart caused by you........"
i see! hav a nice valentine day..Ooh yeah you want to see him......
Njoo Kempisk zamani kilimanjaro hotel kuanzia saa moja usiku tutakuwa oriental restaurant tunapata dinner