Wazo zuri mkuu,
1. Lenga kwenye majiji kwakuwa watumiaji wa mitandao ni wengi
2. Bidhaa zitakazo kuwa humo ziwe za kuwelenga vijana zaidi kwakuwa wao ndio watumiaji wakubwa wa mitandao
3. Umeuliza ni njia ipi utumie kutangaza web yako iwe ya mkoa mmoja, tumia radio za mikoa. Kuna baadhi ya mikoa kuna radio ambazo hazishiki mikoa mingine
Maswali:
1. Bidhaa atakuwa anauza nani? wewe au member ndio watakuwa wanaweka bidhaa zao kama ebay
2. Unaposema budget ndogo ni sh ngapi? ili mtu aweze kukusaidia kimawazo utangaze katika njia ambayo inaendana na budget yako