PostGE2025 Na nyie mme-notice wananwake wengi zaidi wanazungumzia siasa baada ya Uchaguzi Mkuu 2025?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
844
Reaction score
1,608
Wakuu,

Nilipita sehemu leo (uswahilini) nikakuta wamama watu wazima wanazungumzia kuhusu uteuzi mpya uliofanywa hivi karibuni kwenye baraza la mawaziri

Yaani ni wanatoa nondo balaa. Wengine wanasapoti uteuzi uliofanyika wengine wanasema hapana uteuzi haukuwa sahihi

Binafsi nimeona kuna mwamko mkubwa sana wa wanawake kipindi hiki hasa baada ya Uchaguzi. Wanawake ambao zamani walikuwa wanaonekana kama wafuatiliaji wakubwa wa habari za udaku sasa hivi wako bize kufatilia uteuzi

Sijui tunaelekea sehemu nzuri au mbaya lakini kuna sehemu tunaelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…