Na ng'ombe nao wanahitaji daladala

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
MziziMkavu vipi wewe!! Maana ng'ombe wanataka kupakia daladala,
je nyinyi bado au mnataka mpakie bodaboda?????
 
Attachments

  • ngombe.jpg
    22.8 KB · Views: 75
MziziMkavu vipi wewe!! Maana ng'ombe wanataka kupakia daladala,
je nyinyi bado au mnataka mpakie bodaboda?????
Mkuu saudari Ukitaka kuona maajabu nenda nchini India utakuta Ng'ombe wanamuabudu na anapita mijini pasipo na kumkamata Ng'ombe Afrika ni kitoweo India Ng'ombe ni Ni mungu Ataghfiru llah toba yarabi saudari
 
Last edited by a moderator:

Na jee vipi kuhusu mbuzi, nipe maujuzi yako coz wewe umekula age lakutosha.
 
Na jee vipi kuhusu mbuzi, nipe maujuzi yako coz wewe umekula age lakutosha.
Mbuzi wana thamani kila mahali kuliko Ng'ombe mbuzi huwezi kumkuta anazurura ovyo kama Ng'ombe nchini India mbuzi na kondoo wanafugwa pamoja na wanaishi pamoja laikini huko India utakuta Ng'ombe na wale nyati Bufalo nchini India wanatembea Mabarabarani kama hawana akili vile na hakuna mtu wa kuwashughulikia tembea mkuu ujione mwenyeewe haswa nenda nchini India mwisho ya yote huko saudari
 
Last edited by a moderator:

Nitafanya hivyo mkuu ila ndo nasubiri mayai yawe viza ili nikikamilisha mambo yangu faster nakwea pipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…