vipofu hawawezi kusoma maandishi haya, wapelekee kwa technologia sahihi labda watakuelewa, usisahau kuandaa semina elekezi, posho ziwepo. uwaalike vipofu nchi nzima, wageni waalikwa wafuatao lazima wa epo 1. ana makinda aka bibi kiroboto 2. mizengwe pinda aka mzee wa kulialia 3. napeegwa nnauye aka .....4. john komba aka fungo. hao mtaelewana, ukimshirikisha ndg. Zitto kabwe utata wa posho utajitokeza patakuwa na maswali magumu umepata wapi fungu na watafaidika nini wananchi kwa hi yo semina, ukimshirikisha ndg. John Mnyika usitumie mtindo wa makanuni kama mjengoni, ukimualika ndg. Tundu Lisu atawasanua kumbi na kumbinga watakustukia, kwa uongo wako ukimualika ndg. Godbless lema ujue ngumi zitafumuka na itawawia ngumu kuwaokoa vipofu, tahadhari, ndg. Wilbrod Slaa anaweza kuhudhuria atawapiga shule kiwango cha PHD nao watauelewa uongo wako na hasira zao zitapanda wakasusia posho kisha hao vipofu wataokota mawe watakupiga sitegemei kama utapona, kwani wananchi kwa ujumla hawatakuokoa kwa vyovyote.