kwani we ulivyopeleka umepoteza nini,halafu pengine pesa ndio ilikua tatizo hapo je,umbea tu.
kwani na wewe yamekukuta?? pole mkuu mie sikujua kama nawewe umo!?acha kutetea upuuzi
kwani we ulivyopeleka umepoteza nini,halafu pengine pesa ndio ilikua tatizo hapo je,umbea tu.
Mbishi mmnoo
kwani na wewe yamekukuta?? pole mkuu mie sikujua kama nawewe umo!?