Kaomba ushauri jukwaa husika anaitaji msaada kwa ambaye Ana uzoefu na ili jambo sasa hili jambo lina uprivate gani au kaandika jina lake na address?Vitu private km hivi watu wanavianika hadharani it doesnt bother you?
Nenda hospital
We ukiandikiwa prescription kutoka JF utaiamin?hii jukwaa lina limit zake especially focus ni public health education &guidelines tuKaomba ushauri jukwaa husika anaitaji msaada kwa ambaye Ana uzoefu na ili jambo sasa hili jambo lina uprivate gani au kaandika jina lake na address?
What's so private about a condition that bothers you?Vitu private km hivi watu wanavianika hadharani it doesnt bother you?
Nenda hospital
Aende tu hospital amuone Gynaecologist kuna vitu havitibiwi kwa instructionsWhat's so private about a condition that bothers you?
I am amazed by him. I see a loving and caring husband who keeps track of his wife's menses.
There is nothing to be ashamed of my friend.
Umefanya vizuri kumpa muongozo wa tatizo lake. See? Penye wengi hapaharibiki jambo.Aende tu hospital amuone Gynaecologist kuna vitu havitibiwi kwa instructions
Upo?
Acha ujuaji wewe kama huna cha kumsaidia unapita kimya hiri jukwaa limeanzishwa kwa ayo malengo we unafikiri ni vitu gani visivyokuwa private vya kuomba msaada?We ukiandikiwa prescription kutoka JF utaiamin?hii jukwaa lina limit zake especially focus ni public health education &guidelines tu
Chochote utakacho mshauri lazima utaishia "nenda hospitali" so unaishia kule kuleAcha ujuaji wewe kama huna cha kumsaidia unapita kimya hiri jukwaa limeanzishwa kwa ayo malengo we unafikiri ni vitu gani visivyokuwa private vya kuomba msaada?