Wakuu ninaswali kama sio maswali.
Ni hivi dunia inajizungusha kwenye mhimili wake tunapata usiku na mchana hapo sawa.
Sasa ishu inakuja kwanini hatushuhuudii/kuhisi mzunguko huo? Je ni kwasababu nilipo au ulipo ni sehemu ndogo ya huo mzunguko ndiyo maana siuhisi au kuuona huo mzunguko?
Kama jibu ni ndiyo..je ndege ikiwa angani kwanini abiria usione jinsi dunia inavyozunguka kwa maana ndege inakuwa imeshatoka duniani?
Kama sio kuona kutokana na speed ni kubwa saana kwanini hata usihisi? Je ndege inatumia technolojia gani kukimbiza/kufukuzia sehemu ya dunia inapoenda kutua maana itakuwa inazunguka AKA INAHAMA KWA SPEED KUBWA? Hayo yote yakitegemea speed ya mzunguko wa dunia ni 40000 ÷24 = 1670km/hour. Gari lenyewe speed 100 au 120 ni unatoa machozi kama unachungulia nje.
Ndege inawezaje kufukuzia hiyo speed? Na wakati normal speed ya ndege ni 475 km/hour to 540km/hour?
(nipo tayari kurekebishwa)
Ungekuwa mwalimu, ningepata A enzi zile,Huhisi mzunguko huu kwa sababu kila kitu kwenye uso wa dunia, pamoja na atmosphere, vinazunguka kwa mwendo huu.
Chukulia mfano wa sisimizi aliye katika gari linaloenda kasi. Sisimizi anakuwa na "kinetic energy" ya gari, na kama gari linaenda 90 km/hr, madirisha yamefungwa, hata hewa iliyo katika gari inakwenda kwa speed hiyo na sisimizi anakuwa hajui kwamba gari lina mwendo
Sasa wewe na dunia unakuwa mdogo mara nyingi sana zaidi ya sisimizi alivyo ndogo kwa gari.
Ndege haijatoka duniani bado, ipo katika atmosphere inayozunguka na mwendo wa dunia. Mfano mzuri wa kuona dunia inavyozunguka ni kwenda kwenye satellite zilizotoka nje ya atmpsphere ya dunia na zinazoweza kuiona dunia kwa mbali. Mfano ni "International Space Station"
Swali lina assume ndege imetoka nje ya dunia. Tumeona hapo juu kwamba hewa ya dunia ni sehemu ya dunia na ndege haitoki nje ya dunia.
Again, ndege yenyewe ipo katika dunia na inasukumwa na speed ya dunia. Ni sawa na wewe ukae nyuma kwenye pickup, halafu pickup iwe inaenda kasi, halafu uchukue kitenesi na kukirusha juu kidogo halafu ujaribu kukidaka. Unaweza kufikiri kwamba kitenesi kitadondoka nje, lakini kama hakuna upepo na hujakirusha juu sana utaweza kukidaka kama mtu ambaye kasimama, kwa sababu wewe, gari na kitenesi wote mna kinetic energy.
Ndege haitoki nje ya dunia, hivyo ni sehemu ya vyote vinavyokuwa moved na dunia vilivyo ndani ya dunia.
Nimejibu kutoka kichwani tu sijaangalia reference book kama nimekosea tujadili.
Mwenzio kauliza, wewe badala ya kumjibu unatupa za kwako. Mtoto akishalala basi njoo na majibu sawa?Wewe dogo kiazi sana kumbe...
( hapa nimebreserve dpace ) sasa hivi mwanangu analia nampembeleza..
Ila kesho nitakuja kumwaga nondo hapa..
Umenikumbusha mbali sana dogo...
Nilikuwa mbaya sana wa physical geograpy... Rock and its formation. Climatology usiniguse.
Nakumbuka A level nilipiga banda na geography.. (EGM)
Siku moja kabla ya pepa.. Nilikuwa nasoma map enlargement* washkaji wakawa wananicheka kwa sababu hatukufundishwa class, na niliamua tu kujisomea..
Nikapiga maswali yangu manne.( past papers).
Lahaula!! Kuingia kwenye paper nikalikuta swali kama lilivyo... Max mia saba nadhani...
Nikaanza nalo. Afu nikalala .. Msimamizi alivyosema bado nusu saa ndio nikamalizia ya kuchagua.
Wewe jamaa upo vizuri hope unafundisha twisheni some where. Big up sanaHuhisi mzunguko huu kwa sababu kila kitu kwenye uso wa dunia, pamoja na atmosphere, vinazunguka kwa mwendo huu.
Chukulia mfano wa sisimizi aliye katika gari linaloenda kasi. Sisimizi anakuwa na "kinetic energy" ya gari, na kama gari linaenda 90 km/hr, madirisha yamefungwa, hata hewa iliyo katika gari inakwenda kwa speed hiyo na sisimizi anakuwa hajui kwamba gari lina mwendo
Sasa wewe na dunia unakuwa mdogo mara nyingi sana zaidi ya sisimizi alivyo ndogo kwa gari.
Ndege haijatoka duniani bado, ipo katika atmosphere inayozunguka na mwendo wa dunia. Mfano mzuri wa kuona dunia inavyozunguka ni kwenda kwenye satellite zilizotoka nje ya atmpsphere ya dunia na zinazoweza kuiona dunia kwa mbali. Mfano ni "International Space Station"
Swali lina assume ndege imetoka nje ya dunia. Tumeona hapo juu kwamba hewa ya dunia ni sehemu ya dunia na ndege haitoki nje ya dunia.
Again, ndege yenyewe ipo katika dunia na inasukumwa na speed ya dunia. Ni sawa na wewe ukae nyuma kwenye pickup, halafu pickup iwe inaenda kasi, halafu uchukue kitenesi na kukirusha juu kidogo halafu ujaribu kukidaka. Unaweza kufikiri kwamba kitenesi kitadondoka nje, lakini kama hakuna upepo na hujakirusha juu sana utaweza kukidaka kama mtu ambaye kasimama, kwa sababu wewe, gari na kitenesi wote mna kinetic energy.
Ndege haitoki nje ya dunia, hivyo ni sehemu ya vyote vinavyokuwa moved na dunia vilivyo ndani ya dunia.
Nimejibu kutoka kichwani tu sijaangalia reference book kama nimekosea tujadili.
Acha story mingiWewe dogo kiazi sana kumbe...
( hapa nimebreserve dpace ) sasa hivi mwanangu analia nampembeleza..
Ila kesho nitakuja kumwaga nondo hapa..
Umenikumbusha mbali sana dogo...
Nilikuwa mbaya sana wa physical geograpy... Rock and its formation. Climatology usiniguse.
Nakumbuka A level nilipiga banda na geography.. (EGM)
Siku moja kabla ya pepa.. Nilikuwa nasoma map enlargement* washkaji wakawa wananicheka kwa sababu hatukufundishwa class, na niliamua tu kujisomea..
Nikapiga maswali yangu manne.( past papers).
Lahaula!! Kuingia kwenye paper nikalikuta swali kama lilivyo... Max mia saba nadhani...
Nikaanza nalo. Afu nikalala .. Msimamizi alivyosema bado nusu saa ndio nikamalizia ya kuchagua.
Wewe dogo kiazi sana kumbe...

Mkubwa umetisha kwenye suala zima la "kujimegea"...Wewe dogo kiazi sana kumbe...
( hapa nimebreserve dpace ) sasa hivi mwanangu analia nampembeleza..
Ila kesho nitakuja kumwaga nondo hapa..
Umenikumbusha mbali sana dogo...
Nilikuwa mbaya sana wa physical geograpy... Rock and its formation. Climatology usiniguse.
Nakumbuka A level nilipiga banda na geography.. (EGM)
Siku moja kabla ya pepa.. Nilikuwa nasoma map enlargement* washkaji wakawa wananicheka kwa sababu hatukufundishwa class, na niliamua tu kujisomea..
Nikapiga maswali yangu manne.( past papers).
Lahaula!! Kuingia kwenye paper nikalikuta swali kama lilivyo... Max mia saba nadhani...
Nikaanza nalo. Afu nikalala .. Msimamizi alivyosema bado nusu saa ndio nikamalizia ya kuchagua.
Huhisi mzunguko huu kwa sababu kila kitu kwenye uso wa dunia, pamoja na atmosphere, vinazunguka kwa mwendo huu.
Tukutane kwenye kutongoza wewe hapa unapwaya ndugu yanguWewe dogo kiazi sana kumbe...
( hapa nimebreserve dpace ) sasa hivi mwanangu analia nampembeleza..
Ila kesho nitakuja kumwaga nondo hapa..
Umenikumbusha mbali sana dogo...
Nilikuwa mbaya sana wa physical geograpy... Rock and its formation. Climatology usiniguse.
Nakumbuka A level nilipiga banda na geography.. (EGM)
Siku moja kabla ya pepa.. Nilikuwa nasoma map enlargement* washkaji wakawa wananicheka kwa sababu hatukufundishwa class, na niliamua tu kujisomea..
Nikapiga maswali yangu manne.( past papers).
Lahaula!! Kuingia kwenye paper nikalikuta swali kama lilivyo... Max mia saba nadhani...
Nikaanza nalo. Afu nikalala .. Msimamizi alivyosema bado nusu saa ndio nikamalizia ya kuchagua.
Ingia youtube kuna video moja niliiona nikacheka kinoma...wanaonyesha jinsi inavyozunguka na sauti yake ..nahisi ile waliitengeneza kwenye The 100.swali la kujiuliza:
TEKNOLOJIA SASAHIVI IMEKUWA, KILA SIKU NASA PAMOJA NA MASHIRIKA MENGINE YANATUMA ROCKET KWENDA ANGA ZA MBALI,
SASA TUSEME WAMESHINDWA KUTUMA CHOMBO CHA KURECORD DUNIA IKIZUNGUKA?
Bila ushahidi wa video mimi hawanipati