tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
- Thread starter
-
- #21
Shule gani mkuu inajengwa kwenye eneo la heka (ekari) 1? Watu wengine mbona mna akili za kisengerema hivyo? Rudi tena ukafanye uchambuzi vizuri kuku wewe!!
nani kakwambia tanzanite inapatikana mlimani, wakati madini yanafata mkanda , mtafute mtaalamu wa madini akwambie
Na wengi hawajui Wajerumani wana siri nyingi za hii nchi huyo atakua kuna kitu kakigundua kikiisha anasepa wanakujaga kufanya tafiti na hvi document hazina mtafsiri huyo akipata chake ana sepa.Mimi nafikiria wala sio Tanzanite ila Itakuwa kuna HAZINA KUBWA YA KIJERUMANI. Mlioko karibu mfuatilie baada ya mwaka mmoja tu kama huyu mzungu atakuwa hapo ??
Kidumu chama cha mapinduzi
Hivi kumbe kijiji wanaweza kuamua kuuza eneo la shule kirahisi hivo?
Kaka hiyo sector niko 12yrz mgodi w tanzanite lazma uchimbe 350m au 450m then uanze search mawe sio urefu w shimo l choo.......istoshe hakuna ki2 kma hicho usa labda ungeniambia namberera au kwengine
Mkuu mbna hiyo issue ni mstori tu......toka lini tanzanite ikawa sehemu ambayo haina miamba dats why inapatikana mererani mlimani n miamba yake hutoka juu kwenda chini zaidi ya mita 350 mpka 450m,hiyo itakua sio tanzanite ni usanite😁😁😁
Labda shule ya mat.ak.o ya m'mako ndo inauzwa kirahisi hivyo!!Ujaelewa mpuuzi ww nimekwambia ilipokuwa shule na heka moja ya ziada elewa kipapa ww