tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Maskini Tanganyika yangu,katiba mbovu inapelekea yote haya.
Huyo mzungu mmoja hana jina?Mzungu mmoja uko wilaya arumeru mkoani arusha , imethibitika ameweza kuinunua shule moja ya msingi mali ya serikali katika kijiji cha doli, na kisha kuwajengea shule ya kisasa kabisa nje kabisa ya eneo hilo lilipokuwa shule hiyo, inasemekana kabisa kuwa eneo hilo ilipokuwa shule ilionunuliwa limesheheni madini ya tazanite" kwa mujibu wa mwanakikiji mmoja aliepewa kazi ya kuchimba shimo la choo kabla ya kuninuliwa na mzungu uyo na kubaini kiasi kikubwa cha madini hayo katika eneo hilo kwa sasa eneo hilo limepigwa uzio wenye kulidwa na umeme, walinzi na mbwa,baada ya wanakijiji kuridhia kuuza eneo hilo la heka 1 na shule hiyo ambayo ilikuwa aina hata madirisha, pia choo mzungu huyo aliwazawadia shule ya kisasa na kuninua gari la walimu na wanafunzi kama asante, kwa kumpa eneo hilo, kwa sasa lina ulinzi mkali ambapo marufuku kuingia eneo hilo, mbunge wa arumeru mashariki anajua hilo
Huyo mzungu mmoja hana jina?
Hiyo shule aliyojenga aina jina?
Hilo gari ni aina gani?
Hiyo sehemu alionunua mzungu inaitwaje?
Huyo mwanakijiji aliochimba choo cha mzungu anaitwa nani?
Watu wote humu hawana akili za nyumbu kufuata msururu tu bila kujua unapoelekea.
Shule gani mkuu inajengwa kwenye eneo la heka (ekari) 1? Watu wengine mbona mna akili za kisengerema hivyo? Rudi tena ukafanye uchambuzi vizuri kuku wewe!!Mzungu mmoja uko wilaya arumeru mkoani arusha , imethibitika ameweza kuinunua shule moja ya msingi mali ya serikali katika kijiji cha doli, na kisha kuwajengea shule ya kisasa kabisa nje kabisa ya eneo hilo lilipokuwa shule hiyo, inasemekana kabisa kuwa eneo hilo ilipokuwa shule ilionunuliwa limesheheni madini ya tazanite" kwa mujibu wa mwanakikiji mmoja aliepewa kazi ya kuchimba shimo la choo kabla ya kuninuliwa na mzungu uyo na kubaini kiasi kikubwa cha madini hayo katika eneo hilo kwa sasa eneo hilo limepigwa uzio wenye kulidwa na umeme, walinzi na mbwa,baada ya wanakijiji kuridhia kuuza eneo hilo la heka 1 na shule hiyo ambayo ilikuwa aina hata madirisha, pia choo mzungu huyo aliwazawadia shule ya kisasa na kuninua gari la walimu na wanafunzi kama asante, kwa kumpa eneo hilo, kwa sasa lina ulinzi mkali ambapo marufuku kuingia eneo hilo, mbunge wa arumeru mashariki anajua hilo
nani kakwambia tanzanite inapatikana mlimani, wakati madini yanafata mkanda , mtafute mtaalamu wa madini akwambie[/QUOTE][aQUOTE=tweenty4seven;13569474]Mkuu mbna hiyo issue ni mstori tu......toka lini tanzanite ikawa sehemu ambayo haina miamba dats why inapatikana mererani mlimani n miamba yake hutoka juu kwenda chini zaidi ya mita 350 mpka 450m,hiyo itakua sio tanzanite ni usanite😁😁😁