Ha haa! Unakumbuka Wakati Waku Move Usiku Ukimuamsha Mdau Unashangaa Ananena Kilugha Unkownwingly. Kuna Mdau Mmoja Alipigwa Ngumi Katika Jitìhada Za Kumuasha Mdau. Mwingine Akiamshwa Anaenda Kukojoa Afu Anarudi Kupiga Mbonji. Ha haaa...!haaaaaa.. wazumbe noma, baadae watadai mpishi awe na phd
...dume huyo, picha tu ya demu.Haaaa haa awaaaaapi! Hamna Mpishi Wa Kike Pale. Labda Unidanganye Ulikuwa Unapika Salooo....,,
Haaaa haa awaaaaapi! Hamna Mpishi Wa Kike Pale. Labda Unidanganye Ulikuwa Unapika Salooo....,,
ilboru mlikua mnaonewa sana na mzumbe kwa Alevel. japo na ninyi mlikua mnatuonea sana olevel.. haaahahaaa, mimi sikusoma mzumbe secondary, ila nimesoma Mzumbe chuo, sekondari nimesoma ilboru form 1 hadi 6, nimevutiwa na hii thread kwa kuwa kipindi kile mzumbe na ilboru tulikua wapinzani wa jadi, enzi shule za vipaji zikiwa ndio vinara kwenye matokeo ya form 4 na 6 kabla private hawaja take over,
ile obsession na rivalry kati ya school hizi nimeimiss kweli, kibaha nao walikuwepo.
ila naona kama serikali imeshindwa kuzi update ili kuendana na ukisasa wa shule za sasa hivi zinazofanya vizuri,
maabara za kizamani na majengo yamechakaa, miundombinu za maji pia ni shida
mara ya mwisho kwenda ilboru naona wamejitahidi kwenye majengo kukarabati ila mzumbe bado,
sasa hivi ni kama watoto wa masikini ndio wanaosoma pale sababu ya mazingira mabovu, hakuna ile pride ya zamani tena.. inasikitisha
hahaaaaaaa, golden days hizo aiseeeilboru mlikua mnaonewa sana na mzumbe kwa Alevel. japo na ninyi mlikua mnatuonea sana olevel.. haaa
Ha ha haaaaa mpe like mara mbiliHaaa ha! Afadhali Umeweka Bayana. Kula like.
Kila kitu kinawezekana hapa jfHa haa! Kumbe We Ni "Me"????? Nilihisi Kitu Kama Hichi Mwanzoni.