Ulionesha Ushujaa Kweli Mkuu. Shangazi Hakuwepo Enzi zetu.mkuu umenikumbusha longi sana. kwenye hilo sakata la chatu 2003 nami nilikuwepo, nilishiriki hadi kuchimba pale alipoingia shimoni. hahaaaa. Namkumbuka sana shangazi, alikuwa rafiki yangu, siku ya pilau ananidokolea supu teh teh
Kitambo sana mkuu. nilimaliza pale advance mwaka 2004Ulionesha Ushujaa Kweli Mkuu. Shangazi Hakuwepo Enzi zetu.
ulikuwa SOPAM, SOB, LAW au hebu tupeane maujuzi hahahahahahahahahahaha. Prof, KuzilwaMmmmh! tatty umepajuaje hapo au Ni mdau wa Mzumbe University?
mzumbe idumu mileleVijana Wetu Bado Wapo Imara Last Year Tumetoa Washindi 2 ( A- Level) Wa Kwanza Kitaifa Wa Mashindano Ya Sayansi Na Walipewa Tour Ya Kwenda Ireland Pamoja Na Scholarships. Kwa Upande Wa O-Level Tumetoa Mshindi Wakwanza wa Essay Ya SADC. Bravoo Boys.
Mumewe ndiye alifariki. Naye alikuwa anafundisha kilimoMadam Malamsha Yupo Mkuu Nilimuona Pale Staff.
Mkuu kitu kingine uzumbeni yani hakuna wizi kabisa. Na ukikamatwa wew ni mwizi ni kufukuzwa shule bila mjadala. Nakumbuka madaftari tulikua tunaacha darasani just imagine vitabu vya advance kama vya physics zile chands au nelkon unaacha darasani na hakuna anayeiba. Kwa miaka miwili yote niloyosoma advance vitabu yangu nilkua naeka darasani.Watoto wenye nidhamu na heshima hongereni kwa kukumbushiana sie tuliokuwa kama tupo jeshini au langley "raha ilikuwa ni karaha"
Polygon au kiunde.. Vipi mkuu nyiny mlikua hamnyooshi uniform pale DH siku moja kabla ya Disko? Nakumbuka kuna wana walikua wananyoosha nguo siku ya disco tu.ILIKUWA UKICHEZA DISCO NA POLYGON LA KILAKALA SEC UTATANIWA TERM NZIMA DAAAH NIMEKUMBUKA MIHOGO YA KUCHEMSHA YA MKE WA LIBRARIAN
Ha ha ha! Ukimpata Kiunde Utapigwa Jungu Kweli...! Mihogo Ukizubaa Tu Dakika Ishaishaaa....! Wapi Mama Shayoo.ILIKUWA UKICHEZA DISCO NA POLYGON LA KILAKALA SEC UTATANIWA TERM NZIMA DAAAH NIMEKUMBUKA MIHOGO YA KUCHEMSHA YA MKE WA LIBRARIAN
Mganda Mr Kabare - biologyBasi nilikuwa mwalimu wako. Kwani hujawahi kufundishwa na mwl wa kike?
Enzi za mwl wibonele (rip)