MZUMBE ADMISSION

J26

Senior Member
Joined
Aug 26, 2018
Posts
126
Reaction score
46
DOGO ALICHAGUA CHUO KIMOJA TUU MZUMBE KAAMBIWA LIMITED SPACE AFANYAJE ?
 
Yani mimi apa nshachanganyikiwa pia yamenikuta ayo lakini Hakuna jinsI

NIMESHANGAA HATA YEYE AJAKOSEA KUTUMA AND ANA GPA YA UPPER SECOND PIA FACULTY ALICHAGUWA TATU MAJIBU LIMITED SPACE
 
]Wakati asubuhi walinitumia msg ya kukubaliwa mzumbe uni daah

DUUU NA DOGO NAYE AMEAMBIWA HIVYOHIVYO
 
Wakati asubuhi walinitumia msg ya kukubaliwa mzumbe uni daah

INGEKUWA VYEMA KUWASILIANA NAO KESHO
 
Alikuwa anabana matumizi, sasa atakuta kozi zote za maana zimejaa, itabidi aombe vyuo binafsi au kozi za ualimu

Wamemwambia ajaribu tena kuchaguwa course nyingine
 
mkuu subiri tar 6 uombe tena raundi ya pili. lakin nahis serikali inataka wengi watupwe diploma. jaribu huenda ukabahatisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…