Pole kwa usumbufu pia kwa wanajamii yeyote anaejua anaweza kuchangiaa hapaa
Nimekua nikinywa maji ya moto yaliyochanganywa na limao nakunywa glas tatu jion napotaka kulala na asubuhi kila nikiamka kabla sijanywa chai!
Sasa nikiyanywaa tumbo linanivurugaa sanaa mpaka nakua najisikiaa vibayaa mno sasa najiuliza ninakosea kuyanywa au nazidisha nakunywa mengi mno maana kuna mtu aliniambia niwe nakunywa glasi nne ili kupunguza mafuta mwilin,nimeshindwaa nakomea kunywa glas tatu tu
Pia uniambie nichanganye na nini kingine ili nipunguze mafuta mwilinii maana huu unene unaokuja sio kabisaaa tutakimbiwaaa kama huna ushauri pitilizaa kabisa! !!!!!
MziziMkavu
Hii nona ni spesho kwa MziziMkavu.
hahahaha unamkwara wewe wewe eti pitia mbali
Ila naona kwa limao na maji ya moto pekee ni kulitesa tumbo!!! Uwe makini usikaribishe vidonda vya tumbo. Mimi ninaamini Sana mchanganiko wa asali +mdalasini+maji ya vuguvugu. Hii imesaidia wengi. Ngoja Dr. MziziMkavu aje akupe dose.Pole kwa usumbufu pia kwa wanajamii yeyote anaejua anaweza kuchangiaa hapaa
Nimekua nikinywa maji ya moto yaliyochanganywa na limao nakunywa glas tatu jion napotaka kulala na asubuhi kila nikiamka kabla sijanywa chai!
Sasa nikiyanywaa tumbo linanivurugaa sanaa mpaka nakua najisikiaa vibayaa mno sasa najiuliza ninakosea kuyanywa au nazidisha nakunywa mengi mno maana kuna mtu aliniambia niwe nakunywa glasi nne ili kupunguza mafuta mwilin,nimeshindwaa nakomea kunywa glas tatu tu
Pia uniambie nichanganye na nini kingine ili nipunguze mafuta mwilinii maana huu unene unaokuja sio kabisaaa tutakimbiwaaa kama huna ushauri pitilizaa kabisa! !!!!!
MziziMkavu
Mie mwenyewe nakunywa maji japo mie siweki limao na niliambiwa tumbo likivurugika eti ndo yanafanya kazi mwilini sasa sijui kama ni kweli
Shost ila toka nimeanza kunywaa najisikia mwepesii maana mapigo ya moyo yalikua yananienda kasiiu mno sijui ni mafutaa lol
Kweli unene haupedwi.... jaribu kupunguza kula vitu vya ngano na pia mi huwa nakula matunda tu usiku.... pasipo chakula cha nguvu
Kwa hiyo hua unakunywa glas ngapi kwa siku na mara ngapi namie nataka kupunguaa kidogo unene ni uzeee