Sasa atawakimbia mpaka lini mkuu maana miaka mitano ni mingi sanaKingereza chenyewe cha "aiemu politishani aiemu veri machi wedsi" kwa nini asiwakimbie? si unaona hata mikutano ya kimataifa haendi...
Thread ya kijinga mara nyingi huchangiwa na watu wenye sifa hyo....its really naive &utopianic in nature!!!how does this help you and ur followers?Lowassa day and nite in imaginable stories created by imagineless people.Kada wa chama cha mapinduzi amezidi kuzongwa na makada wenzie kuhusu uamuzi wake wa kumuunga mkono Mh Lowasa kabla
hajatimkia CHADEMA.
Chanzo: Magazeti leo
Mkuu mi nimekikubali kingereza chako tu... Daah.. Hatareee...Thread ya kijinga mara nyingi huchangiwa na watu wenye sifa hyo....its really naive &utopianic in nature!!!how does this help you and ur followers?Lowassa day and nite in imaginable stories created by imagineless people.
Hivi hiyo Phd yake aliipataje?Kingereza chenyewe cha "aiemu politishani aiemu veri machi wedsi" kwa nini asiwakimbie? si unaona hata mikutano ya kimataifa haendi...
Kati ya watu waliowaaibisha wanawakae TZ ni Sophia Simba. Namchukiaga JK kwa sababu yake....................
Kilaza wa mwisho umekulupuka toka chooni bila kujitawazahapo ndipo atapoirejesha pride kwa serikali. maana kafanya ufisadi mkubwa kule pride.
Nyie wenye mgombea anaye juabkuongea masaa 10 mfululizo mbona mna mbunge mmoja tu kama nguzo ya msonge?Kama mwenye mzimu hawezi hata kuongea 10 minutes consecutively sasa huo mzimu utakuwa na ubavu wa kumuandama mtu?
Kama kawaida yako na siasa zako chafuSimba hapa anahusishwa na Lowassa. Kikwete inamuhusu nini? Au ulimaanisha Julius Kambarage?