Mzimu wa Lowassa wazidi kumwandama Simba

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,352
Reaction score
3,600
Kada wa chama cha mapinduzi amezidi kuzongwa na makada wenzie kuhusu uamuzi wake wa kumuunga mkono Mh Lowasa kabla hajatimkia CHADEMA.

Chanzo: Magazeti leo
 
hapo ndipo atapoirejesha pride kwa serikali. maana kafanya ufisadi mkubwa kule pride.
 
Waende ukawa haraka pamoja na nchimbi sioni sababu ya wao kubaki Ccm kwani walikosa been busara na Hekima kwa maslahi binafsi ya kumtetea fisadi hadhatani. Ni Wakati mzuri wakavuna walichopanda kwa miaka mingi kwa kumshabikia MTU badala ya chama.
 
Naona hata chai hujaipata maana unacho kiandika utadhani unakimbizwa na huyo simba
 
hapo ndipo atapoirejesha pride kwa serikali. maana kafanya ufisadi mkubwa kule pride.

Wewe inaonekana hufuatilii siasa za Tanzania...Kumbuka msemo 'NO RESEARCH NO COMMENT'. Anayezungumziwa hapa ni Sophia Simba na wala si Iddi Simba.
 
Hivi neno mzimu linatumikaje, kwa uelewa wangu mzimu ni wa MTU alokufa, sasa km MTU yupo hai mzimu wake utakuandama vipi
 
Kama mwenye mzimu hawezi hata kuongea 10 minutes consecutively sasa huo mzimu utakuwa na ubavu wa kumuandama mtu?
 
Kati ya watu waliowaaibisha wanawakae TZ ni Sophia Simba. Namchukiaga JK kwa sababu yake....................
 
Wewe inaonekana hufuatilii siasa za Tanzania...Kumbuka msemo 'NO RESEARCH NO COMMENT'. Anayezungumziwa hapa ni Sophia Simba na wala si Iddi Simba.
member wengi wa ccm humu jf ni watu wa "kukurupuka" kama rais wao Magufuli.
 
hapo ndipo atapoirejesha pride kwa serikali. maana kafanya ufisadi mkubwa kule pride.

Simba mwenye Pride ni Idd Simba sina hakika kama alimuunga mkono Lowassa na kuna Sofia Simba ambaye alimuunga mkono Lowassa katika hatua za awali sasa sijui mtoa mada anamanisha yupi kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…