najulikana
New Member
- Oct 25, 2017
- 2
- 3
Pole ndugu yangu,serikali inajaribu kubana matumizi kwa kila aina ya staili na ipo desperate kubana matumizi na unajua mtu akiwa desperate anakuwaje.naandika thread hii nkiwa na uchungu mno nikiwa kama muhanga wa HESLB na wakuu flan flan ambao wamezoea kuassume tu kila wakat kam walvyokua wanafny ana ana anado kpindi wapo mashuleni wakitafuta majbu ya maswali yaliyowashinda, naongea hakilillahi kukatisha ndoto na mtu asiekua na sababu maalum n dhamb kubwa kulko hata ile ya petro kumkana yesu maan alsemehewa.
POINT! Unasemaje kama uliweza kujilipia diploma bac unaweza kujilipia degree kwann hukuyasema hayo before watu hawajaanza dploma kbs ili wafaham kam kama huna uwezo huo ndo mwsho wa elim yao?
Umechukua vdhibit gan vya maisha ya hao waliojilipia diploma kwa hali ya ss useme wanaweza kujilipia degree ilhali ukijua kwamba elimu ya juu ni elimu ghali kuliko hyo ya dploma?
NNAMENG YA KUJIULIZA ILA NGOJA KWANZ NI PATE MAJBU YA HAYO NTARUDI TENA
POLENI WAGANGA NJAA WENZANGU TULIOKARBU NA MITANDAO KUFATILIA BATCH YA 3 MUNGU YUPA1 NASI KUNAMJINGA TU ATABADILI MAWAZO ATATUONA NA SISI
Jifunze kuwa na uandishi wa kisomi, achana na huu uandishi wako kama uko Facebooknaandika thread hii nkiwa na uchungu mno nikiwa kama muhanga wa HESLB na wakuu flan flan ambao wamezoea kuassume tu kila wakat kam walvyokua wanafny ana ana anado kpindi wapo mashuleni wakitafuta majbu ya maswali yaliyowashinda, naongea hakilillahi kukatisha ndoto na mtu asiekua na sababu maalum n dhamb kubwa kulko hata ile ya petro kumkana yesu maan alsemehewa.
POINT! Unasemaje kama uliweza kujilipia diploma bac unaweza kujilipia degree kwann hukuyasema hayo before watu hawajaanza dploma kbs ili wafaham kam kama huna uwezo huo ndo mwsho wa elim yao?
Umechukua vdhibit gan vya maisha ya hao waliojilipia diploma kwa hali ya ss useme wanaweza kujilipia degree ilhali ukijua kwamba elimu ya juu ni elimu ghali kuliko hyo ya dploma?
NNAMENG YA KUJIULIZA ILA NGOJA KWANZ NI PATE MAJBU YA HAYO NTARUDI TENA
POLENI WAGANGA NJAA WENZANGU TULIOKARBU NA MITANDAO KUFATILIA BATCH YA 3 MUNGU YUPA1 NASI KUNAMJINGA TU ATABADILI MAWAZO ATATUONA NA SISI
muhim co uandishi muhim kuexpress what i feel ckukaa chn kupanga ayo maneno najkuta yanatoka tu ujui tu situation tuliyonayoJifunze kuwa na uandishi wa kisomi, achana na huu uandishi wako kama uko Facebook
Pole wadigo zangu mwakani nitaandika miswada kivuli 3 yahusuyo haya mambo pia ntaenda court juquestion heslb sababu wanavunja katiba, ile haki ya kupata elimu wanaisigina
Kaka yaan kutoka uchambuz Wa muzik Wa alikiba mpk kwenye siasa eti utaenda court OK time will tellPole wadigo zangu mwakani nitaandika miswada kivuli 3 yahusuyo haya mambo pia ntaenda court juquestion heslb sababu wanavunja katiba, ile haki ya kupata elimu wanaisigina