Mzimu wa kukatisha ndoto za wanadiploma kujiunga na degree ipo siku utamrudia mtu

najulikana

New Member
Oct 25, 2017
2
3
Naandika thread hii nikiwa na uchungu mno nikiwa kama muhanga wa HESLB na wakuu fulani fulani ambao wamezoea kuassume tu kila wakat kama walivyokua wanafanya ana ana anado kipindi wapo mashuleni wakitafuta majibu ya maswali yaliyowashinda, naongea hakilillahi kukatisha ndoto na mtu asiekua na sababu maalum n dhamb kubwa kulko hata ile ya petro kumkana yesu maan alsemehewa.

POINT! Unasemaje kama uliweza kujilipia diploma bac unaweza kujilipia degree kwann hukuyasema hayo before watu hawajaanza dploma kbs ili wafaham kam kama huna uwezo huo ndo mwsho wa elim yao?

Umechukua vdhibit gan vya maisha ya hao waliojilipia diploma kwa hali ya ss useme wanaweza kujilipia degree ilhali ukijua kwamba elimu ya juu ni elimu ghali kuliko hyo ya dploma?

NINAMENGI YA KUJIULIZA ILA NGOJA KWANZA NIPATE MAJBU YA HAYO NTARUDI TENA

POLENI WAGANGA NJAA WENZANGU TULIOKARIBU NA MITANDAO KUFATILIA BATCH YA 3 MUNGU YU PA1 NASI KUNA MTU ATABADILI MAWAZO ATATUONA NA SISI
 
  • Thanks
Reactions: m2u
Hata wale tulio chaguliwa na serikali TAMISEMI toka form four direct hakuna tuliopata mikopo mkuu .hii nchi inavyotufanyi kwa kweli sio poa kabisa .
Wengine kipindi tunamaliza o level tuliweka advance kama first choice lkn wakaja na BRN yao wakanipanga chuo bhasi ikawa hakuna namna nikasema wacha nikasome tu lakini baada ya kumalza diploma ndo hayo yanayotukuta hapa.KIUKWELI SERIKALI IMEKUWA ADUI WA NDOTO ZANGU SIKU ZOTE
 
Pole wadigo zangu mwakani nitaandika miswada kivuli 3 yahusuyo haya mambo pia ntaenda court juquestion heslb sababu wanavunja katiba, ile haki ya kupata elimu wanaisigina
 
naandika thread hii nkiwa na uchungu mno nikiwa kama muhanga wa HESLB na wakuu flan flan ambao wamezoea kuassume tu kila wakat kam walvyokua wanafny ana ana anado kpindi wapo mashuleni wakitafuta majbu ya maswali yaliyowashinda, naongea hakilillahi kukatisha ndoto na mtu asiekua na sababu maalum n dhamb kubwa kulko hata ile ya petro kumkana yesu maan alsemehewa.
POINT! Unasemaje kama uliweza kujilipia diploma bac unaweza kujilipia degree kwann hukuyasema hayo before watu hawajaanza dploma kbs ili wafaham kam kama huna uwezo huo ndo mwsho wa elim yao?
Umechukua vdhibit gan vya maisha ya hao waliojilipia diploma kwa hali ya ss useme wanaweza kujilipia degree ilhali ukijua kwamba elimu ya juu ni elimu ghali kuliko hyo ya dploma?
NNAMENG YA KUJIULIZA ILA NGOJA KWANZ NI PATE MAJBU YA HAYO NTARUDI TENA

POLENI WAGANGA NJAA WENZANGU TULIOKARBU NA MITANDAO KUFATILIA BATCH YA 3 MUNGU YUPA1 NASI KUNAMJINGA TU ATABADILI MAWAZO ATATUONA NA SISI
Pole ndugu yangu,serikali inajaribu kubana matumizi kwa kila aina ya staili na ipo desperate kubana matumizi na unajua mtu akiwa desperate anakuwaje.

Pili hili jambo tulichukulie kama funzo kwetu kwaajili ya watoto wetu. Lazima tujipange ili tuweze kuwasomesha watoto wetu bila kutegemea mkopo wa serikalini.
 
naandika thread hii nkiwa na uchungu mno nikiwa kama muhanga wa HESLB na wakuu flan flan ambao wamezoea kuassume tu kila wakat kam walvyokua wanafny ana ana anado kpindi wapo mashuleni wakitafuta majbu ya maswali yaliyowashinda, naongea hakilillahi kukatisha ndoto na mtu asiekua na sababu maalum n dhamb kubwa kulko hata ile ya petro kumkana yesu maan alsemehewa.
POINT! Unasemaje kama uliweza kujilipia diploma bac unaweza kujilipia degree kwann hukuyasema hayo before watu hawajaanza dploma kbs ili wafaham kam kama huna uwezo huo ndo mwsho wa elim yao?
Umechukua vdhibit gan vya maisha ya hao waliojilipia diploma kwa hali ya ss useme wanaweza kujilipia degree ilhali ukijua kwamba elimu ya juu ni elimu ghali kuliko hyo ya dploma?
NNAMENG YA KUJIULIZA ILA NGOJA KWANZ NI PATE MAJBU YA HAYO NTARUDI TENA

POLENI WAGANGA NJAA WENZANGU TULIOKARBU NA MITANDAO KUFATILIA BATCH YA 3 MUNGU YUPA1 NASI KUNAMJINGA TU ATABADILI MAWAZO ATATUONA NA SISI
Jifunze kuwa na uandishi wa kisomi, achana na huu uandishi wako kama uko Facebook
 
Poleni sana ndugu zangu, nayajua maumivu ya kukosa mkopo wa chuo sababu 2013 nilikosa pia. Mungu awafungulie njia mtimize ndoto zenu
 
Tina hutaki kuwa na technicians wengi nchi ni kwa maendeleo ya nchi,. Hata Baba wa Taifa alikuwa na lengo hilo. Siku hizi imekuwa kila mtu na bachelor ukifika maofisini kila mmoja anasharubu

Hakuna technicians wa kufanya kazi za utech na nyie mkishajiendeleza ni wasumbufu maofisini usipime
 
Pole wadigo zangu mwakani nitaandika miswada kivuli 3 yahusuyo haya mambo pia ntaenda court juquestion heslb sababu wanavunja katiba, ile haki ya kupata elimu wanaisigina

Mambo ya Diploma kwenda Degree naona yana issue nyingi. Kwanza sijui kama kuna takwimu ni wenye Diploma wangapi wamechaguliwa kwenda Degree tuone how realistic hii njia ipo. Na hisi kuna vikwazo hasa baada ya kupandisha vigezo kutoka GPA ya 2.7 hadi 3.0 na 3.5 kwa course za afya. Of course TCU wana data sijui kama wanaweza kuziweka wazi over the years tuone kinachotokea.

Pili mkopo kwa watu wa diploma sijui kama serikali ina sera juu ya hili au inategemea aliyekuwepo. Nakumbuka kuna binti alitoka Diploma akaja chuo na wenzake, wakanyimwa mkopo kwa sababu serikali ili assume wanatoka kazini kitu ambacho si kweli ilichukua mwaka mzima kurekebisha walipata mkopo wakiwa mwaka wa pili. Ni vizuri HESLB waeleze sera yao juu ya hili in black and white ili waombaji wajue.

Kama mkuu uko kwenye position ya ku influence haya mambo, tafadhali saidia.
 
Pole wadigo zangu mwakani nitaandika miswada kivuli 3 yahusuyo haya mambo pia ntaenda court juquestion heslb sababu wanavunja katiba, ile haki ya kupata elimu wanaisigina
Kaka yaan kutoka uchambuz Wa muzik Wa alikiba mpk kwenye siasa eti utaenda court OK time will tell
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom