Wafanye kwa nani sasaNa Tanzania wafanyafe km hvo
Alipokea ela yake kisha akamgeuka na kumwondoa madarakani aisee usimuamini mtuGadafi kumbe alikuwa na mikono mirefu....
Alipokea ela yake kisha akamgeuka na kumwondoa madarakani aisee usimuamini mtu
Ili asilipe deniNa akamuua kabisa. Huyo ndo mtasha aka muzungu
hahahahahahaIna maana Viongozi wa Ulaya wamezidiwa akili Na kina Magu
Wenzao wana kinga ya kutoshtakiwa