Mzimu wa Escrow waigawa Serikali

Hatunyi sumu, hatujinyongi.......ccm mbele kwa mbelee....

Acha waisome namba eee... !!!
 
Hebu wenye kumbukumbu nzuri watukumbushe EL alikuwa kwenye kile chama wakati sakata hili linatokea? Maana nilisikia wakati wa kampeni wakisema fisadi alishaodoka na sasa chama lao ni safi! kama tunavyosema mara kwa mara, nchi yetu kama itaendelea kuwa chini ya uongozi wa hiki chama, itakuja kubinafsishwa au kuuzwa kabisa ili kulipa madeni. Hata wajinga ambao kwa sasa hawataki kuelewa tunaposema haya mambo kuna siku watatuelewa tu.
 

Mashetani haooo
 
Reactions: BAK
Na tuliwatukana tunawaita Tumbili,level zao za elimu hazilingani na Maprofessor wetu au PhD zetu ni aibu pale Rais anapoteuwa muhusika wa Wizi wa Mali za Taifa
Hatari ya danger
 
Reactions: BAK
Hatari ya danger

Umeona eh,tukawatukana waliotetea TAIFA ,tukawanyang'anya na UBUNGE kwa kutumia pesa,leo tunarudi tunalia acha wale tu shamba la bibi hili.Watakaposhiba watatuachia
 
Umeona eh,tukawatukana waliotetea TAIFA ,tukawanyang'anya na UBUNGE kwa kutumia pesa,leo tunarudi tunalia acha wale tu shamba la bibi hili.Watakaposhiba watatuachia
Naambiwa yule mganga mchawi wa radi eti alifariki!!!!
Ilipaswa atusaidie kuingurumisha moja mjengoni naibu spika akiwa ON.

Ipige kwenye siwa tu! Trrrrrraaaaaaa.
Nadhani ingetukumbusha kuwa tumbili ni babu yetu.
 
Naambiwa yule mganga mchawi wa radi eti alifariki!!!!
Ilipaswa atusaidie kuingurumisha moja mjengoni naibu spika akiwa ON.

Ipige kwenye siwa tu! Trrrrrraaaaaaa.
Nadhani ingetukumbusha kuwa tumbili ni babu yetu.

Mie nadhani ingepiga Mjengoni siku wapinzani wametoka Maccimizi yakiwa na NS wao hahahhahaaaaaaaaaaaaa
 
Reactions: BAK
Mie nadhani ingepiga Mjengoni siku wapinzani wametoka Maccimizi yakiwa na NS wao hahahhahaaaaaaaaaaaaa
Ndio bas tena, babu amegoo shoo.
Da ila inauma sana.
 
Reactions: BAK
Mkuu tatizo yeye mwenyewe ni mtuhumiwa wa mengi tu, sasa wakitaka kupambana naye basi hana pa kutokea. Unakumbuka kauli yake zaidi ya mara moja ya kujuta kuchukua form ya kugombea Urais? Basi ndiyo kwa mambo kama haya maana ile kauli yake ya kujitoa kafara ili kupambana na mafisadi nchini inakuwa kauli MUFILISI.

 
Mambo ya kisheria wanaingiza siasa.
Kudai haki yako ni NIA OVU?!
“Kwa uamuzi huu wenye utata uliotolewa na ICSID, ni wazi Standard Chartered walikuwa na nia ovu, ninasema hivyo kwa sababu tangu Septemba 5, 2013 suala hili liliamuriwa vizuri chini ya Jaji Utamwa (John) na IPTL ikashinda kesi na kutwaa uongozi.
Jaji Utamwa ruled in favor of IPTL ni kawaida ya aliyeshinda kesi kuona "liliamuriwa vizuri" lakini sio kwa aliyeshindwa kesi ndio maana walifungua kesi ICSID.

Anayekudai anatakiwa kukulipa fidia kwa kukudai haki yake!!!!

Anasema licha ya Mahakama kutoa uamuzi, wataendelea kusimamia uamuzi huo wa kutomtambua mtu anayeitwa Martha Renju wala, Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong.

“Sisi msimamo wetu kama IPTL/PAP tunasema hadharani kwamba hatuitambua Benki ya Standard Chartered ambao hawa kila wakati wamekuwa wakikimbia Mahakama zetu za ndani na kukimbilia nje na hata hukumu hii ya tuzo ina viashiria vya mabeberu.
Kwa nini IPTL wanalalamika Benki ya Standard Chartered..Something smells.......

“Tuzo husika waliyopewa ni dhahiri Standard Chartered ni batili kwa mujibu wa sheria. Wao ni kina nani hadi wakafungue kesi kwa niaba yetu. Hii ni kesi ya ngedere imepelekwa kwa nyani,” anasema Makandege.
Kwani Stardard Chartered walifungua kesi kwa niaba ya Kampuni yoyote!!!
 
Mbona kuna nyingi tu...kuna nyumba za nhc,mv magogoni,meremeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…