We Ulisikia Wapi ...Wakuu habari za wakati huu?
Okay, mimi nina swali napenda kulileta kwenu, Je? Ni nini kinapelekea kuwa kwa utofauti ukiwa na unasikiliza mziki kwenye simu ukilinganisha na kwenye PC tena ukiwa unatumia headphone [emoji442],
Maana mziki kwa kwenye pc [emoji335] unaonekana kuwa mzuri zaidi na wenye mkito zaidi.
Je nawezaje kufanya simu yangu itoe mziki kama ninaosikiliza kwenye PC kwa kutumia Headphone [emoji442]?
Uzi tayari
Umeua hapo kwenye DSP ukitaka DSP bora za simu zinauzwa unaziplug kwenye earphone jack halafu ndo unaweka earphone unapata mziki mwanana.Mambo ni mengi hapo, kuna issue ya audio drivers, Audio adopter/ Sound card na pia kuna DSP au Digital sound processor
Hivi vyote vipo kwwnye PC na Simu na vinatofautiana uwezo na technologia. hivyo lazima output ziwe tofauti
Huawei mkuuinategemea ni simu gani isije kuwa tecno unatumia unashindanisha na pc
Huawei mkuuUnatumia simu gani? Tuanzie hapo
Kuna sababu nyingi
simu kubwa uwezi sikia mziki mdogo,basi nunua amplifaya portableHuawei mkuu
Zinapatikana wapi? Bei ikoje?Umeua hapo kwenye DSP ukitaka DSP bora za simu zinauzwa unaziplug kwenye earphone jack halafu ndo unaweka earphone unapata mziki mwanana.
simu kubwa uwezi sikia mziki mdogo,basi nunua amplifaya portable
Huawei mkuu
huawei kwenye audio bado sana.Huawei mkuu